Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hao haoTaja hiyo nyimbo bisha kwa hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao haoTaja hiyo nyimbo bisha kwa hoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanyakyusa tuna taabu jamani duhMnataka atinge ile misuti ya orange kama agent wa hallotel na shati la kung'aa ndio mtaamini kua anaimba nyimbo za Injili...?Hapo waimba Injili watabaki wanyakyusa tu maana wanajua kutupia crazy colour mpaka barabarani nawachanganya na askari wa usalama barabarani na yale ma-reflector [emoji23]
Hahah..gospel singers wa kutoka mbeya ndio wako hivyo..suti koti inafika ugokoni na kiatu cheupe kirefuu..na shati la egoli linang'aaahahahaha umenifurahisha umenikumbusha kwaya za iringa na mbeya hahahh! mashati mtelezo hahahaa! surual mguu mmojaunaweza toa suruali nyingne dah!
kijana ameamua kuimba Gospel hicho nikitu bora sana ,na kama anapiga business out of it ni sawa piaPraise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.
Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.
Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu
Nyie mnamuelewaje kwani???
New-song shukrani
Hahaaa hatar sna mkuu...umeuaMnataka atinge ile misuti ya orange kama agent wa hallotel na shati la kung'aa ndio mtaamini kua anaimba nyimbo za Injili...?Hapo waimba Injili watabaki wanyakyusa tu maana wanajua kutupia crazy colour mpaka barabarani nawachanganya na askari wa usalama barabarani na yale ma-reflector [emoji23]
Kwa hiyo mtu aliyeamua asitaje kabisa jina la Yesu huyo anaimba muziki wa injili? La hasha! Yawezekana anaimba muziki wenye ujumbe mzuri sana, apewe credit zake kwa hilo. Kwani muziki mzuri lazima uwe wa injili? Kwa nini iwe lazima kumuunganisha na injili ambayo kimsingi haiongelei kabisa? Injili ni ya Yesu Kristo. Kama katika nimbo zake ZOTE hajalitaja jina la Yesu lazima tujiulize kwa nini.
WAKINA ROMA ,KALA JEREMIAH KWENYE HIP HOP HUJAWASIKIA WAKIMTAJA??
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani muziki WA injili una sifa zipi?hizo Ni chuki binafsi Tu wote wanaunba injili wapate pesa Na ndo mana show zao nyingi zinalipiwa hakuna show ya bure Ni wachache Sana wanafanya show za bure.Pili unapoandaa compilation ya nyimbo za din uzipendazo unafanya piracysijui kama watumishi wa Mungu wanamuhukumu au la, ila mimi nikiwa kama mkristo kwa kweli huyu kaka hata simuelewi na nyimbo zake huwa sijui nizeweke kwenye kundi gani, kiasi kwamba nilishaamua kuachana nazo, mimi huwa sipendi kusikiliza album nzima ya mtu kwahiyo mara nyingi huwa nachagua nyimbo za watu tofauti tofauti nnazozipenda natengeneza mix naweka sehemu moja ndo nasikiliza, kama ni gospel basi nategeneze mix ya waimba injili tofauti tofauti ndo nasikiliza, ila nyimbo za huyu kijana nimeshindwa kabisa niziweke wapi, mana kwenye gospel hazikai na kwenye bongo fleva hazikai. Kuna neno linasema Wanyama wanaofanana huenda pamoja na Ndege wanaofanana huruka pamoja, Ila wenzako wamekukataa kwasababu ya tofauti yako, ndo yanayomtokea gosbert, achague kama anataka kuwa moto au baridi, mkristo bila kumtajia jina la Yesu hajakuelewa bado, mana Kutaja jina la Mungu hata bongo fleva au taarabu wana litaja sana tu kwenye nyimbo zao.
sijui kama watumishi wa Mungu wanamuhukumu au la, ila mimi nikiwa kama mkristo kwa kweli huyu kaka hata simuelewi na nyimbo zake huwa sijui nizeweke kwenye kundi gani, kiasi kwamba nilishaamua kuachana nazo, mimi huwa sipendi kusikiliza album nzima ya mtu kwahiyo mara nyingi huwa nachagua nyimbo za watu tofauti tofauti nnazozipenda natengeneza mix naweka sehemu moja ndo nasikiliza, kama ni gospel basi nategeneze mix ya waimba injili tofauti tofauti ndo nasikiliza, ila nyimbo za huyu kijana nimeshindwa kabisa niziweke wapi, mana kwenye gospel hazikai na kwenye bongo fleva hazikai. Kuna neno linasema Wanyama wanaofanana huenda pamoja na Ndege wanaofanana huruka pamoja, Ila wenzako wamekukataa kwasababu ya tofauti yako, ndo yanayomtokea gosbert, achague kama anataka kuwa moto au baridi, mkristo bila kumtajia jina la Yesu hajakuelewa bado, mana Kutaja jina la Mungu hata bongo fleva au taarabu wana litaja sana tu kwenye nyimbo zao.
Hiv gwaJay sio sharobaro!??Mi mwenyewe simuelewi , huyu anaimba bongo fleva ila anajificha kwenye kivuli cha dini. Halaf ni sharo balo tofauti na kina legend Ambwene mwasonge
Mbona wanamsema yeye anaevaa kisharo...binafsi mi naona anapendeza tu maana kumtumikia mungu sio kwamba asipendeze ...mbona hawawasemi watumishi wengine wanawake wanaobandika kope na kujichubuuuuua na wanataja jina la Yesu???mi binafsi namuelewa sana gozbert...maana ujumbe wa nyimbo zake ndo unao matterPraise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake.
Uimbaji wake hapa wanapenda kuzungumzia suala la kutungia baadhi ya wasanii nyimbo kama baraka prince.
Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu
Nyie mnamuelewaje kwani???
New-song shukrani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] zihurumie mbavu zangu jamaniAlitakiwa avae mabwanga na suti za kung'aa kama mabati ndio aonekane sio wakidunia