Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Masahihisho
Tupatie masahihisho na mamazo yoko mkuu, unasemeaje fursa zote kutengwa kwa waTutsi ambao ni kajamii kadogo ila ndio wanatafuna keki ya taifa huku waHutu ambao ni wengi wakisota kama vijakazi tu na mahohehahe mitaa ya Kigali.
 
Hata Kagame anajua wahutu kwa sasa hawawezi kufanya chochote hofu yake Ni hao hao wenzake, inasemekana hamna watu alikuwa anawaogopa Kama Nyamwasa na Karegeya, lkn pia hao ndio alikuwa kwenye msoto msituni.
Tupe na list ya majenerali wakati wa Habyarimana.
 
Kuna 195+ huko pia walichapana mbaya ,ndio kizazi hicho cha PK kukimbilia Uganda.
Then kurevenge 90-94.
Sawa kabisa, ndio nilikua namjuza mchangiaji kua 1994 haikuwa mara ya kwanza. Hua wanachapana wanatulia wanachapana tena kama cycle ya machafuko amani machafuko tena
 
Mkuu taratibu kwamba visiwa vya kanzu tulienda kupora nini ?! Mchanga au ?! Kwa taarifa yako hako kakisiwa ka Zanzibar kanalishwa na Tanganyika hakana rasilimali yoyote ni vibalagashea na kanzu tu.

Kumbe historia hujui? Pole. Zanzibar ilikuwa na uchumi mzuri zamani, Nyerere aliutamani


 
Tusiishie kuwasema wanyarwanda nasi tuna yetu ambayo tunajifanya kuyakataa tena kwa nguvu kubwa.
Tatizo letu ni Udini na sasa tumeanza kuingia kwenye kubaguana kwa ukanda,rai yangu tujiepushe kabisa na ubaguzi wa aina yoyote.
 
Sinayo list ya mageneral wakati wa Habyarimana ila sidhani kama kuna utofauti maana na yeye alikua ni mkabila sana akichochewa na mkewe aliyeunda mpaka kikosi kazi maalumu cha waHutu.

Tusubiri wakuu wenye list ya mageneral wa wakati ule tujifunze kwa pamoja ilikuaje.
 
Tusiishie kuwasema wanyarwanda nasi tuna yetu ambayo tunajifanya kuyakataa tena kwa nguvu kubwa.
Tatizo letu ni Udini na sasa tumeanza kuingia kwenye kubaguana kwa ukanda,rai yangu tujiepushe kabisa na ubaguzi wa aina yoyote.
Nakubaliana na wewe tunakaugonjwa ka udini japo mkuu hata kama dini ya wavaa nguo nyeupe wanapendelewa ila pia wabeba misalaba pia wanalamba asali tofauti na Rwanda ambako 100% ya fursa ZOTE ni kwa waTutsi.
 
Wahutu wenyewe wanasemaje?
 
Yaani taifa la zaidi ya miaka 1000 lisubiri mpaka mwaka 1964 ndiyo lifanye mapinduzi? Siyo kweli.
Ndio hilo lawezekana kabisa, halafu hiyo miaka 1000 ni upotoshaji tu kwanza hakukuwa na taifa hapo zaidi ya soko la watumwa.
 
Ndio hilo lawezekana kabisa, halafu hiyo miaka 1000 ni upotoshaji tu kwanza hakukuwa na taifa hapo zaidi ya soko la watumwa.

Kwani taifa maana yake nini mpaka useme Zanzibar haikuwa taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…