Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Siasa za Rwanda na Burundi Zina mambo mengi Sana. Miaka ya 90's Rwanda ilikuwa chini ya Wahutu na Burundi ikiwa chini ya Watutsi ambao waliweza hata kumuua Rais aliyekuwa Mhutu. Leo Rwanda iko chini ya Mtutsi na Burundi iko chini ya Wahutu.

Ila binafsi naona nchi ikiwa chini ya uongozi wa walio wengi inakuwa vyema zaidi kuliko kuongozwa na walio wachache.
 
Mkuu kupora mali gani Rwanda ?! Kwanza migogoro ya ardhi isiyo hata na rutba kati ya Tutsi na Hutu mmeimaliza ?! Yani Tanzania ikapore mali Rwanda ?! Aisee nikichekesho.
Labda anamaanisha tukapore zile mali ambazo Rwanda amepora huko Congo.
 

anaeongoza anadhani yy n mungu ataishi milele!!
sijui huyu jamaa huwa anawaza nn
 
Watutsi ni akili kubwa harafu acha uongo mbona waziri mkuu ni mhutu
 
Apo kwanza ncheke. Rwanda ka nchi kadogo kanazidiwa kilomita za mraba na singida afu kana mageneral 4 stars wanne. PK is no longer safe at all.
 
Serikali ya magogoni au TISS wanasemaje?
 
ICTY na ICTR zimeacha sintofahamu kubwa na maswali mengi kuliko majibu. ICTR ilipekea mamlaka (Jurisdiction) ya kusikiliza kesi kwenye mauaji ya mwaka 1994 tu, ilhali kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil War) vilivyoanza mwaka 1990.

Vilevile kule ICTY walioshitakiwa ni Ethnic-Serbians peke yake huku Croatians wakiachwa kwa wingi, na wengine kama Raisi wao aliyeua maelfu ya Serbians kuachwa. Ishu ya Albanian Muslims haikuguswa kabisa.

Hii haki ya kuchagua (Selective Justice) bila kugusa mzizi wa tatizo ndiyo inafanya Rwanda na Former Yugoslavian States kuwa kwenye kikaango cha moto. Leo hii Serbia anaweza kuwatandika Kosovo muda wowote ule. Huku Rwanda na Uganda Kagame akiondoka yanaweza kutokea matatizo makubwa mno.

NB: Dr Ssengondo Mvungi alifariki kisa katiba.
 
Ngongo
 
ICTR ilipekea mamlaka (Jurisdiction) ya kusikiliza kesi kwenye mauaji ya mwaka 1994 tu, ilhali kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil War) vilivyoanza mwaka 1990.
Vita vya 1990-1993 vilikuwa baina ya majeshi pinzani, sio vya kulenga kuangamiza jamii fulani tu.

Ila naamini hata Drc inastahili mahakama ya aina hiyo juu ya uhalifu uliotendeka huko.

mtu chake zitto junior Moronight walker
JokaKuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…