grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Shia kama shia huwa mnatafsiri hako ka mstari vibaya mno... jitwalieni katika binti za nchi kuwa wake zenu; tena imenenwa wake zenu ni konde zenu ziendeeni jinsi mpendavyo. Ha ha ha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shia kama shia huwa mnatafsiri hako ka mstari vibaya mno... jitwalieni katika binti za nchi kuwa wake zenu; tena imenenwa wake zenu ni konde zenu ziendeeni jinsi mpendavyo. Ha ha ha.
Mambo yakienda kombo huko Rwanda athari zake pia hugusa Tanzania. Kwa hiyo ni muhimu tuwe na majirani waliotulia.Sasa inatuhusu nini sisi watanzania?
Labda anamaanisha tukapore zile mali ambazo Rwanda amepora huko Congo.Mkuu kupora mali gani Rwanda ?! Kwanza migogoro ya ardhi isiyo hata na rutba kati ya Tutsi na Hutu mmeimaliza ?! Yani Tanzania ikapore mali Rwanda ?! Aisee nikichekesho.
DRC ni mwembe wa uani kwao. Wanachuma tu maembe ya kuwalisha majenerali wao.Nchi ndogo ila ina majenerali wengi sana!
Hizo pesa za kuwalipa wanapata wapi?
Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?
View attachment 2281960
Serikali ya magogoni au TISS wanasemaje?Ndo maana wakina Kagame wakabadili historia kwa kutunga sheria ya Genocide denial ya kusema kwamba yale mauaji ya mwaka 1994 yalikua dhidi ya watutsi wakati wahutu na pia waliuwawa..yule wakili Jwani Mwaikusa kwenye ile kesi iliokua ikiendea huko ICTR alikua anaenda kuonesha kwamba na Kagame alihusika kwenye mauaji na sio watutsi tu ndo walikua target ndo ikatokea vile jamaa akatolewa kafara pamoja na Ssengondo Mvungi...
ICTY na ICTR zimeacha sintofahamu kubwa na maswali mengi kuliko majibu. ICTR ilipekea mamlaka (Jurisdiction) ya kusikiliza kesi kwenye mauaji ya mwaka 1994 tu, ilhali kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil War) vilivyoanza mwaka 1990.Ndo maana wakina Kagame wakabadili historia kwa kutunga sheria ya Genocide denial ya kusema kwamba yale mauaji ya mwaka 1994 yalikua dhidi ya watutsi wakati wahutu na pia waliuwawa..yule wakili Jwani Mwaikusa kwenye ile kesi iliokua ikiendea huko ICTR alikua anaenda kuonesha kwamba na Kagame alihusika kwenye mauaji na sio watutsi tu ndo walikua target ndo ikatokea vile jamaa akatolewa kafara pamoja na Ssengondo Mvungi...
Moronight walkerKinachoniacha hoi na kunifanya nicheke hili la Rwanda Defense Forces (RDF) kuwa na 4 Generals, 4 Lieutenant Generals na 15 Major Generals. Wanaiga Marekani, hiiiiiiiiiii......
Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?
View attachment 2281960
Vita vya 1990-1993 vilikuwa baina ya majeshi pinzani, sio vya kulenga kuangamiza jamii fulani tu.ICTR ilipekea mamlaka (Jurisdiction) ya kusikiliza kesi kwenye mauaji ya mwaka 1994 tu, ilhali kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil War) vilivyoanza mwaka 1990.
Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?
View attachment 2281960
We acha tuuHawa jamaa mauaji ya kimbari part 2 yatatokea tena.
Ni suala la muda tu.
Waswahili wanasema muda utaongea
Hebu Tuonyeshe HIZO MALI za rwandaNaona mna hamu ya kwenda kupora mali zao
Hebu Tuonyeshe Regency ya nyerere kuvuruga amani nchi zingine?Ndiyo legasi ya Nyerere hiyo ya kuvuruga nchi za watu