Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Hii propaganda ilipandikizwa na wabergiji kuwa Wahutu ni Bora kuliko watutsi, Cha ajabu wote ni wanyarwanda na wote wanaongea kinyarwanda. Wadhungu wabaya sana. Dhana hii ipo sana Cameron na Nigeria
 
Hawa jamaa mauaji ya kimbari part 2 yatatokea tena.

Ni suala la muda tu.

Waswahili wanasema muda utaongea
PAKA akifa lazima part itokee.Paka hataki kuacha mfumo hata akifa uendelee.paka ndie mfumo na mfumo ndio paka
 
Ndo maana wakina Kagame wakabadili historia kwa kutunga sheria ya Genocide denial ya kusema kwamba yale mauaji ya mwaka 1994 yalikua dhidi ya watutsi wakati wahutu na pia waliuwawa..yule wakili Jwani Mwaikusa kwenye ile kesi iliokua ikiendea huko ICTR alikua anaenda kuonesha kwamba na Kagame alihusika kwenye mauaji na sio watutsi tu ndo walikua target ndo ikatokea vile jamaa akatolewa kafara pamoja na Ssengondo Mvungi...
 
Hii propaganda ilipandikizwa na wabergiji kuwa Wahutu ni Bora kuliko watutsi, Cha ajabu wote ni wanyarwanda na wote wanaongea kinyarwanda. Wadhungu wabaya sana. Dhana hii ipo sana Cameron na Nigeria
Leo wabelgiji awapo
 
Ndo maana wakina Kagame wakabadili historia kwa kutunga sheria ya Genocide denial ya kusema kwamba yale mauaji ya mwaka 1994 yalikua dhidi ya watutsi wakati wahutu na pia waliuwawa..yule wakili Jwani Mwaikusa kwenye ile kesi iliokua ikiendea huko ICTR alikua anaenda kuonesha kwamba na Kagame alihusika kwenye mauaji na sio watutsi tu ndo walikua target ndo ikatokea vile jamaa akatolewa kafara pamoja na Ssengondo Mvungi...
Mvungi ni ishu ya katiba,mwaikusa ...paka.
 
NIMESHTUKA, ghafla nimeona notifications tatu za PM kwa pamoja nijajua nzi wa PK wameamua kunitokea kunipa onyo. Maana najua hata humu jf chawa wa PK wamo.

Nikafungua fasta kumbe ni member niliemjibu kwa lugha ngumu kule jukwaa la MMU kaja kuniletea hasira PM haa ha ha
 
Katika vitu pk alivyofeli ni kuwaunganisha warwanda kwa kuondoa ukabila badala yake yeye ndio kazidisha ukabila,now ana maadui nje ya rwanda,ana uadui na wahutu na vile vile hata kuna baadhi ya watutsi wenzake apatani nao,naona anajimwambifai kuhusu vita ya congo naamini akijaribu kuingia deep kwenye ile vita achukui round kwa jinsi alivyocreate maadui
 
Katika kitabu chake cha RWANDA BEFORE THE GENOCIDE. mwandishi J.J.Carney analilaumu kanisa la Catholic kw a kushindwa kuliokoa taifa dhidi ya mauaji ya kimbali . Tena Taifa ambalo 90% ya raia wake ni wakristo na zaidi ya 70% ni waumini wa kanisa hilo kwa uzembe kama huu unaoendelea Rwanda.
Jamaa anasema kabla ya vita viashilia vilionesha kabisa kuwa kuna tabaka halitendewi haki nchini humo na kanisa waliliona na kulitambua jambo hilo cha kushangaza badala ya kukemea ndo kwanza kanisa likachochea zaidi. The rest is history.
 
Vita ni mbaya ila nilitamani wakati ule Jk alivyotaka kukinukisha, majeshi yetu yangekazingira hako kakitongoji tukapige kila upande na wanawake wao tuwannje.
 
Katika kitabu chake cha RWANDA BEFORE THE GENOCIDE. mwandishi J.J.Carney analilaumu kanisa la Catholic kw a kushindwa kuliokoa taifa dhidi ya mauaji ya kimbali . Tena Taifa ambalo 90% ya raia wake ni wakristo na zaidi ya 70% ni waumini wa kanisa hilo kwa uzembe kama huu unaoendelea Rwanda.
Jamaa anasema kabla ya vita viashilia vilionesha kabisa kuwa kuna tabaka halitendewi haki nchini humo na kanisa waliliona na kulitambua jambo hilo cha kushangaza badala ya kukemea ndo kwanza kanisa likachochea zaidi. The rest is history.
Mkuu kanisa halina mandetory authority yoyote wakileta ushauri au mwenendo usioshabiiana na serikali, serikali inaweza kufutilia mbali usajili.

Umesahau kakobe alivyokosoa serikali ghafla account zake za bank zikafungwa kwa utakatishaji fedha, on top tukaambiwa Kakobe sio raia kesho yake alipoisifia serikali boom !! tukaambiwa Kakobe ni mTanzania na passport akarudishiwa na mabillion yake bank hayakuhojiwa tena. Ulitaka kanisa lifanye nini cha kuikemea serikali ya Rwanda ?!
 
Aisee, hebu nigusie kiduchu, baada ya 1994 genocide mpaka leo mikoa yetu ya Kagera na Kigoma imenajisiwa na waRwanda mali na rasilimali zetu nyingi kama mifugo na mazao yameporwa kuelekea Rwanda kulisha wapiganaji.

Ujambazi uliongezeka kwa silaha kupatikana kiholela mpaka leo kuna silaha haramu nyingi sana hapo Ngara na imekua soko la silaha haramu kuendea kote nchini kwetu.
Sasa inabidi utoe angalizo la sisi kuimalisha ulinzi maeneo husika na sio huo upuuzi wa uhutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan hujawahi kuishi na hawa watu mkuu
Nimeishi nao sana mkuu na hata wakati wa jiwe miaka ya mwanzo nilifanya nao kazi kazi katika taasisi fulani ya serikali, wengi wao ni watu poa sana hawana nongwa. Sema jiwe alikua tu na mapungufu yake.
 
Back
Top Bottom