Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Umuofia kwenu,

Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.

Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.

Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk

Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?

View attachment 2281960

Kama kwetu tu CCM dhidi ya wengine, tuchekane nao wapi?
 
Huwezi kutenga vita na siasa zilizopelekea hivyo vita. Kitaalamu tunaita, Jus Ad Bellum na Jus In Bello. Kwenye Jus Ad Bellum tunachunguza sababu za kisiasa ambazo zimepelekea vita kutokea. Tunaangalia nani ni mhusika (Belligerents), kwanini nchi au makundi yamepigana vita, nani ni mkorofi na sheria za kimataifa hasa zile za umoja wa mataifa (UN) zinasemaje kuhusu hili.

Kwenye Jus In Bello, tunachunguza jinsi ambavyo hivyo vita vimepiganwa (Means and Methods of Warfare) na kufanya tathmini ya madhara yake kwa raia wa kawaida, mali zao na mazingira kwa ujumla. Hapa sasa ndipo tunachunguza jinai za kimaitaifa (Core International Crimes) ambazo mara nyingi hutokana na vita.

Jinai kama Uhalifu dhidi ya binadamu (Crime Against Humanity), Uhalifu wa kivita (War Crimes) na Mauji ya kimbari (Genocide), ambazo mara nyingi hufanyika wakati wa vita kwa maksudi au uzembe wa wanajeshi na maafisa wao (Commanding Officer).

Ukitaka kutengenisha siasa za kikabila za Rwanda ambazo zilianza tokea mwaka 1958 na vita kilichotokea mwaka 1990, 1994, 1997, 1998 na kuendelea mpaka sasa ni sawa na kumtenganisha TEMBO NA PEMBE ZAKE.

Lakini pia, historia ya siasa za nchi kama Rwanda husaidia kwenye suala zima la kutafuta haki na suluhu (Transitional Justice and Reconciliation) ambalo huanza punde baada ya mgogoro kuisha ili kuweza kujenga jamii imara ambayo haina migogoro.

Hapa ukitenganisha siasa za nchi husika na mgogoro wa kivita, huwezi kukata mzizi wa fitina. Maana watusi hawakuamka tu kutoka usingizini na kuanza kuchinja watutsi, au RPF hawakuanza tu kuua maelfu ya wahutu kule Kibeho mwaka 1990. Kuna sababu ambazo zilipelekea vitendo hivyo kutokea....

NB: Kuhusu DRC kuwa na mahakama kama ICTR nadhani ni utani mwingine ambao utatupotezea muda, rasilimali na kutuachia mijadala isiyo na mantiki. Miaka 28 tokea 1994, mahakama ya ICTR imewafunga wahalifu 61 tu (Convicted 61 members only) huku ikiwaachia (Acquitted ) wengine 14 kwasababu mahakama ilikosea kuchambua ushahidi.

Serikali ya DRC ishapeleka kesi kwenye mahakama ya haki ya dunia (The International Court of Justice) kuomba dunia ikemee uvamizi wa Rwanda na Uganda na kudai fidia za uvamizi wa kijeshi, wizi wa rasilimali, uuaji wa raia na uharibifu wa mazingira, lakini hakuna kilichofanyika mpaka leo hii. Unadhani mahakama kama ICTR nchini DRC ndiyo itafanya chochote cha maana ???

Mkuu ACHA MZAHA......
Hahhaha MALCOM LUMUMBA merry Christmas na kheri y’a mwaka mpya ndugu yangu, nashangaa ukanjenje wako bado uko palepale! You always come across as an educated chap but with full of bile unfortunately! Why? Acha uzushi, siku ya unyenyekevu leo! Kwanza kabisa tukubaliane, btw how many times do I have to tell you this? there isn’t and never will be any good reason to kill. Hiki ndio kinachotutofautisha na wanyama mkuu! Mfano: kule marekani ni kweli wamarekani weusi hubaguliwa na wenzao(wachache) weupe? lakini je serikali inakubaliana na sera hizo? Au raia waliowengi wanakubaliana na sera hizo? Or did you ever see groups of black people wielding machetes against white people in the streets of new York?
Acha kuwapa ndugu zako sababu za kifara za kuuwana, keep it out there in DRC but here in Rwanda, trust me we are not interested at all, wengine tushasahau kabisa huo ufara… anyway just wanted to wish you a merry Christmas but couldn’t get passed your nonsensical hateful ideology you feed the majority of uncivilised JF members. Sad!
 
Mzee. Sincerely unaona kuna political equality kati ya Hutu and Tusti in Rwanda. Acahana za drama kua hakuna hizo kabila kwa Sasa. Sore tunajua zipo.
 
Hahhaha MALCOM LUMUMBA merry Christmas na kheri y’a mwaka mpya ndugu yangu, nashangaa ukanjenje wako bado uko palepale! You always come across as an educated chap but with full of bile unfortunately! Why? Acha uzushi, siku ya unyenyekevu leo! Kwanza kabisa tukubaliane, btw how many times do I have to tell you this? there isn’t and never will be any good reason to kill. Hiki ndio kinachotutofautisha na wanyama mkuu! Mfano: kule marekani ni kweli wamarekani weusi hubaguliwa na wenzao(wachache) weupe? lakini je serikali inakubaliana na sera hizo? Au raia waliowengi wanakubaliana na sera hizo? Or did you ever see groups of black people wielding machetes against white people in the streets of new York?
Acha kuwapa ndugu zako sababu za kifara za kuuwana, keep it out there in DRC but here in Rwanda, trust me we are not interested at all, wengine tushasahau kabisa huo ufara… anyway just wanted to wish you a merry Christmas but couldn’t get passed your nonsensical hateful ideology you feed the majority of uncivilised JF members. Sad!
Naam, ndugu Mchambawima1, naona kila nikitia neno lazima utokee. You just can't help it: Like a Leprechaun to colour green. Kiukweli huwa nafurahia sana kuona hivi, kwasababu kwenye kuandika unaonekana unapuuza ila kumbe unasoma kisirisiri.

Vumilia tu, mambo kama haya yanayoendelea hapa maziwa makuu mtu huwezi kuyasahau kirahisi kama umeyaona kwa macho. Mimi mtaalamu tu ambaye nimekutana na mashahidi pamija na wahanga wa Kitutsi, Kihutu na Kikongo kwenye hizi mahakama siwezi kusahau, sembuse wewe ambaye ni mhanga kabisa....!

Yote tisa, nimefurahi mno kukuona hapa ndugu yangu, maana mimi ni moja kati ya watu wanaokukubali sana na wanaopenda kuona Rwanda inaendelea na kupaa zaidi. Wewe ni moja kati ya watu ambao wanafahamu uhusiano wangu na Rwanda.

Japo sasa, nikisema kwamba Rwanda imekuwa na mambo shwari tu ilhali nilichokishuhudia hapa Tanzania hasa kile Kigoma na Kagera, kinasema tofauti ntakuwa mnafiki na mwongo kama wengi wenu humu ndani. Rwanda inahitaji kufichua madonda yote, siyo ya Watutsi tu, bali hata Wahutu ambao walionewa hadi wengine kuuwawa na RPF bila hatia.

Kuna mengine hatuwezi kuyaweka hadharani, hasahasa ujinga wa General Kagame ambao alishaanza kuufanya ndani ya mipaka ya Tanzania kisa Wahutu, lakini akazuiwa.

General Kagame na marehemu Buyoya waliwahi kuingia kwenye bifu kubwa na Marehemu Mzee Mkapa hata kabla ya bifu la Mzee Jakaya na General Kagame kutokea mwaka 2013, kisa tabia hizihizi za RPF/RPA.

Ashukuriwe Mungu lile bifu lilimalizwa kiutu-uzima, lakini vinginevyo Rwanda, Burundi na Tanzania zingefika pabaya mno na leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

Ndugu Mchambawima1, Mzee Nyerere aliwahi kusema hivi "Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo" . Ukizingatia kilichotokea Rwanda, Burundi na DRC ni dhahiri kwamba hatua zaidi ya kuanzisha mahakama za jinai, kupigana vita na kuwindana kama wanyama zinatakiwa kuchukuliwa kama ilivyofanyika kule Afrika Kusini.

Bila hivi, mzizi wa fitina hauwezi kukatwa hata siku moja. Itakuwa sawa na kilichotokea kule Yugoslavia, kwamba nchi ilipiga hatua kali za kiuchumi wakati wa dikteta Josip Broz Tito hadi kuwa mfano wa kuigwa duniani. Ila baada ya Tito kuondoka madarakani Croatians, Serbians na Albanians walichinjana kama kuku (Ukabila) kila mtu akiwa na vinyongo vya muda mrefu na mwenzake.

Ethiopia nako ni vilevile tu: Kaondoka Haile Selassie tu, Eritreans, Tigrians and Oromo walitaka kuuana, lakini The Derg (Military Junta) chini ya dikteta Mengitsu Haile Mariam wakazuia uuaji. Muda ukapita Ethiopia ikaonekana kuwa ina amani.

Lakini baada ya The Derg kuanguka tu, Eritreans, Tigrians na Oroma wakakabana makoo. Mpaka leo hii, damu isiyo na hatia inamwagika kul Tigray kwasababu ya Makosa yaliyofanywa, kufichwa na kupuuzwa kwa miaka zaidi ya 200 na watawala mbalimbali wa Abyssinia, Tigray na Ethiopia.

Tumewekewa historia ili tujifunze na kuepuka kufanya makosa ambayo yamewagharimu wenzetu. Sasa, binafsi sijaona utofauti mkubwa ambao Rwanda inao kulinganishwa na nchi kama Yugoslavia au Ethiopia.

Be vigilant my friend and Merry Christmas....

Bwana Yesu azaliwe upya ndani ya mioyo yetu....
 
Mkuu leo ni Christmas ujuwe, kunawakati hii jamii inaingiliwa na wachovi hadi naamuwa kupotezea tu. Crucial knowledge is very important and mostly needed to resolve issues that matter to everyday people’s lives, however you seem to be confusing between war crimes and Genocide, may be this lecture is for another day… lakini hivi msomi mwenye akili zake kama wewe ni namna gani hili jambo linakupiga chenga? Unachanganya ICTR ambayo kazi yake ni kuwasurubu wauwaji wa kimbali(regardless of their failures) wasted a lot of resources to deliver disappointments. War crimes are completely a different story brother unless you are new Madam Ingabire mouth piece… haya kasheherekee bwana Yesu kazaliwa, furahisha roho yako bingwa alafu ukale pilau… Kumbuka shida kubwa ni kwamba haya mambo ya Rwanda yaliletwa na walimu wako (wazungu)😩 hadi pale utakapoweza kutofautisha nyakati na nchi na mabara ntarudi hapa na herimu dhatiti itakayo tuwezesha sisi miafrika kubadili fikra zetu kwa maendeleo ya kudumu.
 
Baba wa Taifa anavyoratibu kupanga mipango ya kuvamia DRC kule Kampala mwaka 1996 na vijana wake wakina Museveni, Kabila na Kagame
Nyerere Yeye alifikili kuwa wanapenda kumuondoa Mobutu tuu. HAKUJA kuwa vile vita first congo ilikuwa nyuma yake ni USA ndio aliyowapatia Siraha rwanda, na Uganda na Burundi kipindi kile walikuwa watutsi serikali pamoja na jeshi.
Kumbuka first congo war hata Angola alikuwepo pia.
Ila second congo war Angola na Tanzania walikuwa UPANDE wa kabila licha ya Tanzania hawakupeleka wanajeshi.
Ile nyerere alikuwaanataka tuu mobutu aondoke madarakani.
MIMI NINAUWAKIKA KUWA NYERERE HAKUJUA NYUMA ILEOPERATION ILE ILIKUWA NA LENGO GANI. NYERERE HAKUJUA HILO.
 
Naam, ndugu Mchambawima1, naona kila nikitia neno lazima utokee. You just can't help it: Like a Leprechaun to colour green. Kiukweli huwa nafurahia sana kuona hivi, kwasababu kwenye kuandika unaonekana unapuuza ila kumbe unasoma kisirisiri.

Vumilia tu, mambo kama haya yanayoendelea hapa maziwa makuu mtu huwezi kuyasahau kirahisi kama umeyaona kwa macho. Mimi mtaalamu tu ambaye nimekutana na mashahidi pamija na wahanga wa Kitutsi, Kihutu na Kikongo kwenye hizi mahakama siwezi kusahau, sembuse wewe ambaye ni mhanga kabisa....!

Yote tisa, nimefurahi mno kukuona hapa ndugu yangu, maana mimi ni moja kati ya watu wanaokukubali sana na wanaopenda kuona Rwanda inaendelea na kupaa zaidi. Wewe ni moja kati ya watu ambao wanafahamu uhusiano wangu na Rwanda.

Japo sasa, nikisema kwamba Rwanda imekuwa na mambo shwari tu ilhali nilichokishuhudia hapa Tanzania hasa kile Kigoma na Kagera, kinasema tofauti ntakuwa mnafiki na mwongo kama wengi wenu humu ndani. Rwanda inahitaji kufichua madonda yote, siyo ya Watutsi tu, bali hata Wahutu ambao walionewa hadi wengine kuuwawa na RPF bila hatia.

Kuna mengine hatuwezi kuyaweka hadharani, hasahasa ujinga wa General Kagame ambao alishaanza kuufanya ndani ya mipaka ya Tanzania kisa Wahutu, lakini akazuiwa.

General Kagame na marehemu Buyoya waliwahi kuingia kwenye bifu kubwa na Marehemu Mzee Mkapa hata kabla ya bifu la Mzee Jakaya na General Kagame kutokea mwaka 2013, kisa tabia hizihizi za RPF/RPA.

Ashukuriwe Mungu lile bifu lilimalizwa kiutu-uzima, lakini vinginevyo Rwanda, Burundi na Tanzania zingefika pabaya mno na leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

Ndugu Mchambawima1, Mzee Nyerere aliwahi kusema hivi "Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo" . Ukizingatia kilichotokea Rwanda, Burundi na DRC ni dhahiri kwamba hatua zaidi ya kuanzisha mahakama za jinai, kupigana vita na kuwindana kama wanyama zinatakiwa kuchukuliwa kama ilivyofanyika kule Afrika Kusini.

Bila hivi, mzizi wa fitina hauwezi kukatwa hata siku moja. Itakuwa sawa na kilichotokea kule Yugoslavia, kwamba nchi ilipiga hatua kali za kiuchumi wakati wa dikteta Josip Broz Tito hadi kuwa mfano wa kuigwa duniani. Ila baada ya Tito kuondoka madarakani Croatians, Serbians na Albanians walichinjana kama kuku (Ukabila) kila mtu akiwa na vinyongo vya muda mrefu na mwenzake.

Ethiopia nako ni vilevile tu: Kaondoka Haile Selassie tu, Eritreans, Tigrians and Oromo walitaka kuuana, lakini The Derg (Military Junta) chini ya dikteta Mengitsu Haile Mariam wakazuia uuaji. Muda ukapita Ethiopia ikaonekana kuwa ina amani.

Lakini baada ya The Derg kuanguka tu, Eritreans, Tigrians na Oroma wakakabana makoo. Mpaka leo hii, damu isiyo na hatia inamwagika kul Tigray kwasababu ya Makosa yaliyofanywa, kufichwa na kupuuzwa kwa miaka zaidi ya 200 na watawala mbalimbali wa Abyssinia, Tigray na Ethiopia.

Tumewekewa historia ili tujifunze na kuepuka kufanya makosa ambayo yamewagharimu wenzetu. Sasa, binafsi sijaona utofauti mkubwa ambao Rwanda inao kulinganishwa na nchi kama Yugoslavia au Ethiopia.

Be vigilant my friend and Merry Christmas....

Bwana Yesu azaliwe upya ndani ya mioyo yetu....
OI HUYO JAMAA ACHANA NAYE ANAJUA VIZURI TUU ILA ANALETA USHABIKI NA UBISHI TUU USIOKUWA NA MAANA.
PIA ANAWEZA KUWA INTORE MILLITIA KATUMWA NA KAGAME.
MARA YA MWISHO KUINGIA HUMU
ALIKUWA 2019, LEO NDO KAINGIA JF ACHANA NAE.
 
Mkuu leo ni Christmas ujuwe, kunawakati hii jamii inaingiliwa na wachovi hadi naamuwa kupotezea tu. Crucial knowledge is very important and mostly needed to resolve issues that matter to everyday people’s lives, however you seem to be confusing between war crimes and Genocide, may be this lecture is for another day… lakini hivi msomi mwenye akili zake kama wewe ni namna gani hili jambo linakupiga chenga? Unachanganya ICTR ambayo kazi yake ni kuwasurubu wauwaji wa kimbali(regardless of their failures) wasted a lot of resources to deliver disappointments. War crimes are completely a different story brother unless you are new Madam Ingabire mouth piece… haya kasheherekee bwana Yesu kazaliwa, furahisha roho yako bingwa alafu ukale pilau… Kumbuka shida kubwa ni kwamba haya mambo ya Rwanda yaliletwa na walimu wako (wazungu)[emoji30] hadi pale utakapoweza kutofautisha nyakati na nchi na mabara ntarudi hapa na herimu dhatiti itakayo tuwezesha sisi miafrika kubadili fikra zetu kwa maendeleo ya kudumu.
Acha upumbavu Mchambaima1, wewe ni msomi uliyeenda shule na sitegemei kuona umekuwa na unazi wa namna hii kiasi kwamba unaleta hisia za kitoto kwenye mijadala.

Wewe Layman unapotaka kunifundisha mimi Lawyer ambaye nimehusika na ICTY, ICTR, ICC na SCSL kuhusu sayansi ya jinai za kimataifa (The Jurisprudence of Core International Crimes) napata ukakasi. Nahisi kama ndugu yangu umegeuka kuwa mpiga ramli kama ndundami wa mganga, kama walivyo wajinga wengi wanaoleta ukasuku hapa jukwaani.

Ila kukupasha tu ambacho hukifahamu au labda umekaririshwa ni hiki: Genocide (Mauaji ya kimbari) kwa miaka yote ilikuwa ni sehemu ya uhalifu dhidi ya ubinadamu (Part and Parcel of Crimes Against Humanity). Mahakama za Leipzig, Nuremberg na Tokyo zote zilisema hivi wewe Mnyarwanda ni nani hadi utake kubisha na kuleta yako ???

Hili kosa lilikuja kutengwa na kuanza kujitegemea kama lenyewe baada ya kina Professor Raphael Lemkin, Myahudi kulalamika na kuandika tasnifu ndefu kuhusu hili baada ya vita ya pili ya dunia. Ndiyo tukapata vitu The United Nations Genocide Convention, Treaty of 1948.

Kiufupi, ili kosa la mauaji ya kimbari (Genocide) liweze kufanyika ni lazima kuwa na kosa la uhalifu dhidi ya ubinadamu (Crimes Against Humanity) au Uhalifu wa kivita (War Crimes). Mara zote kosa la Genocide limetokea ndani ya utendwaji wa haya makosa mawili ya War Crimes na Crimes Against Humanity.

Sasa basi: kinachotofautisha Genocide kutoka kwenye War Crimes na Crimes Against Humanity ni kitu kiitwacho NIA/LENGO (Genocidal Intent). Mfano, mwanajeshi anapolipua kombora hovyo dhidi ya raia, kisheria huu ni uhalifu wa kivita (Targeting Civilians who do not take direct participation in hostilities).

Lakini, kama ulipuaji huu wa makombora umelenga kuumiza jamii ya watu fulani kisheria hilo kosa litakuwa ni mauaji ya kimbari (Genocide), au vyote. Yaani kosa la kwanza (First Count) litakuwa ni uhalifu wa kivita na kosa la pili (Second Count) ni kuratibu mauaji ya kimbari.

Kukusaidia tu, kule ICTR kuna watu wengi walishitakiwa kwa kosa la Genocide, lakini baada ya muendesha mashitaka kushindwa kuthibitisha NIA OVU/LENGO OVU (Genocidal Intent) watuhumiwa walibadilishiwa kosa na kuwa Uhalifu dhidi ya ubinadamu, au uhalifu wa kivita au kuachiwa.

Moja ya watu waliokutwa na hii kadhia, ni Mzee wenu Casimir Bizimungu ambaye aliwahi kuwa waziri wenu wa mambo ya nje. Pitia kesi yake kule ICTR iitwayo Prosecutor v Casimir Bizimungu. Hii kesi ilileta utata mwingi mno, na nashangaa.

NB: Ikumbukwe kabisa ICTR ndiyo mahakama ya kwanza kabisa duniani kusikiliza kosa la Mauaji ya Kimbari (Crime of Genocide) kama kosa linalojitegemea nje ya Uhalifu dhidi ya ubinadamu. Kesi ya kwanza ikiwa ni ile ya Kaka yako na ndugu yako Bwana Jean Akayesu.

Japo, hii siyo mara ya kwanza kosa la Genocide kusikilizwa kama sehemu ya kosa la Uhalifu dhidi ya ubinadamu (Crimes Against Humanity). Kule Nuremberg na Tokyo walisikiliza hivyo.

Huu ndiyo ukweli mchungu, Hutaki Unaacha.

Jingine muhimu ni kwamba, binafsi huwa nakuheshimu mno hapa jukwaani, kwasababu naamini wewe ni kati ya watu wenye uelewa mkubwa na waliokomaa kihisia. Ila kama ukiendelea na huu upumbavu unaoufanya hapa wa kuleta hisia, unazi na majungu-majungu ni dhahiri ntakupuuza na kukudharau.

Binafsi, nawapenda sana Wanyarwanda, Warundi na Wakongo tokea ndani ya moyo wangu. Nawachukulia kama ndugu zetu wa damu kabisa, na hivi ndivyo ilivyo. Napenda kuona tukifika mbali pamoja na huenda tukawa taifa moja huko mbeleni, endapo Mungu akipenda.

Ila huu upumbavu wenu wa kutaka kuchinjana hovyo kama wanyama kila siku na siasa za kinazi usipobadilika utakuja kuwagharimu. Mimi nilitegemea wasomi wa kizazi chetu kama wewe na mimi ndiyo tukae, tufanye mijadala na tathmini kwamba tulikosea wapi huko nyuma na tufanyaje sasa ili tuweze kusonga mbele.

Nasikitika kuona Bwana Mchambawima1, unaanza kuniita mimi majina ya kipumbavu. Mara Mhutu, Interahamwe, Genocidal Maniac, Mzungumzaji wa Ingabire n.k jambo ambalo limenichefua mno nyongo.

Ila uhalisia mchungu ni huu: Matatizo na mafanikio ya Rwanda (Tutsi + Hutus) hayaihusu Tanzania hata kidogo, hapa tupo tunafanya mijadala kama Pan-African Ideologues na Future African Leaders tu. Lolote jema au baya likitokea Rwanda siyo mzigo wetu, binafsi huu ndiyo msimamo wangu siku zote.

Hivyo mkuu tuheshimiane bila kukwaruzana....

Ahsante.
 
Nyerere Yeye alifikili kuwa wanapenda kumuondoa Mobutu tuu. HAKUJA kuwa vile vita first congo ilikuwa nyuma yake ni USA ndio aliyowapatia Siraha rwanda, na Uganda na Burundi kipindi kile walikuwa watutsi serikali pamoja na jeshi.
Kumbuka first congo war hata Angola alikuwepo pia.
Ila second congo war Angola na Tanzania walikuwa UPANDE wa kabila licha ya Tanzania hawakupeleka wanajeshi.
Ile nyerere alikuwaanataka tuu mobutu aondoke madarakani.
MIMI NINAUWAKIKA KUWA NYERERE HAKUJUA NYUMA ILEOPERATION ILE ILIKUWA NA LENGO GANI. NYERERE HAKUJUA HILO.
Labda nikuulize tu: Hivi kwanini Mwalimu Nyerere alipoomba vikosi vya Tanzania viende Rwanda kuzuia mauaji ya Watutsi, Mzee Mwinyi na wakina General Imran Kombe, akiwa mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa waligoma ???

Mzee Nyerere, akaenda mbali zaidi na kuamua kuitisha kikao cha waandishi wa habari (A Press Conference) nyumbani kwake akiikosoa serikali ya Mwinyi kutochukua hatua zozote zile kuhusu Rwanda. Alijaribu kutumia nafasi yake kushinikiza lakini ilishindikana kabisa.

Kwanini The Tanzanian Security Establishment iligoma kumsikiliza God Father wao ambaye kauli yake moja tu, ilikuwa kama kauli ya mungu. Mara zote imekuwa ikimsikiliza Mzee Nyerere kwenye mambo mazito kama katiba na nani awe Raisi, lakini Rwanda iligoma ???.......

NB: Hebu tuanzie hapa kabla ya kwenda kuzungumzia Zaire/DRC...
 
IYO issue ya nyerere kuhusu rwanda ndo nasikia leo, coz we umesema imefanya kazi ICTR sonunajua vita VINGI, Hata issue ya ICTR first chief prosecutor carla del ponte alifukuzwa na USA coz alijaribu kumstaki Kagame ICTR ila alishidwa.
Ila nachofahamu nyerere alikuwa anaurafiki wa karibu sana na MU7 na PK hasahasa mu7.
Ila tukienda kwa issue ya congo(zaire)
Zile vita vya first and second ni USA alikuwa nyuma ya ile vita USHAHIDI upo.
Ila SIDHANI kama nyerere alikuwa anajua kuwa USA yupo nyuma.
 
Hili la msimamo wa Mzee Nyerere kuhusu kutaka Tanzania isaidie Rwanda mwaka 1994 hadi kuitisha kikao na waandishi wa habari mbona linafahamika vizuri tu: Halihusiana chochote na ICTR. Wewe hukulisikia ???

Swali jingine: Mobutu alitakiwa kuwepo kwenye mkutano wa amani Arusha (Arusha Peace Accords) kwasababu Zaire ni mdau mkubwa wa siasa za Rwanda. Sanjari na hilo, Raisi Hyabarimana alikuwa akimchukulia Raisi Mobutu kama kaka yake (The God Father).

Kwanini Raisi Mobutu alikataa kuja Tanzania kuhudhuria mkutano wa Arusha mnamo dakika za mwisho kabisa na kumshauri Hyabarimana naye asije ???
 
Mwinyi na wakina General Imran Kombe, akiwa mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa waligoma ???
MKUU ISSUE YA MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA NI PANA SANA KUMBUKA HATA KAGAME MWENYEWE ALIZUIA UN KUPELEKA KIKOSI RWANDA KWA KUANDIKA BARUA USHAHIDI HUU.
1*goePMvvBhWrE69EYhZOKAg@2x.jpeg
1*kRPlNx_qPNSRdZKEHXPkRg@2x.jpeg
1*7ISdg700IC2aRYHPidk7Hw@2x.jpeg
baruwa-page-004.jpg

Sorry page nimeshidwa kuatach zote na vizuri
 
Hili la msimamo wa Mzee Nyerere kuhusu kutaka Tanzania isaidie Rwanda mwaka 1994 hadi kuitisha kikao na waandishi wa habari mbona linafahamika vizuri tu: Halihusiana chochote na ICTR. Wewe hukulisikia ???

Swali jingine: Mobutu alitakiwa kuwepo kwenye mkutano wa amani Arusha (Arusha Peace Accords) kwasababu Zaire ni mdau mkubwa wa siasa za Rwanda. Sanjari na hilo, Raisi Hyabarimana alikuwa akimchukulia Raisi Mobutu kama kaka yake (The God Father).

Kwanini Raisi Mobutu alikataa kuja Tanzania kuhudhuria mkutano wa Arusha mnamo dakika za mwisho kabisa na kumshauri Hyabarimana naye asije ???
Aseee...magenious wanatema madini hapa....sisi viswaswadu ngoja tusikilize hii mbilinge
 
Naam, ndugu Mchambawima1, naona kila nikitia neno lazima utokee. You just can't help it: Like a Leprechaun to colour green. Kiukweli huwa nafurahia sana kuona hivi, kwasababu kwenye kuandika unaonekana unapuuza ila kumbe unasoma kisirisiri.

Vumilia tu, mambo kama haya yanayoendelea hapa maziwa makuu mtu huwezi kuyasahau kirahisi kama umeyaona kwa macho. Mimi mtaalamu tu ambaye nimekutana na mashahidi pamija na wahanga wa Kitutsi, Kihutu na Kikongo kwenye hizi mahakama siwezi kusahau, sembuse wewe ambaye ni mhanga kabisa....!

Yote tisa, nimefurahi mno kukuona hapa ndugu yangu, maana mimi ni moja kati ya watu wanaokukubali sana na wanaopenda kuona Rwanda inaendelea na kupaa zaidi. Wewe ni moja kati ya watu ambao wanafahamu uhusiano wangu na Rwanda.

Japo sasa, nikisema kwamba Rwanda imekuwa na mambo shwari tu ilhali nilichokishuhudia hapa Tanzania hasa kile Kigoma na Kagera, kinasema tofauti ntakuwa mnafiki na mwongo kama wengi wenu humu ndani. Rwanda inahitaji kufichua madonda yote, siyo ya Watutsi tu, bali hata Wahutu ambao walionewa hadi wengine kuuwawa na RPF bila hatia.

Kuna mengine hatuwezi kuyaweka hadharani, hasahasa ujinga wa General Kagame ambao alishaanza kuufanya ndani ya mipaka ya Tanzania kisa Wahutu, lakini akazuiwa.

General Kagame na marehemu Buyoya waliwahi kuingia kwenye bifu kubwa na Marehemu Mzee Mkapa hata kabla ya bifu la Mzee Jakaya na General Kagame kutokea mwaka 2013, kisa tabia hizihizi za RPF/RPA.

Ashukuriwe Mungu lile bifu lilimalizwa kiutu-uzima, lakini vinginevyo Rwanda, Burundi na Tanzania zingefika pabaya mno na leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa.

Ndugu Mchambawima1, Mzee Nyerere aliwahi kusema hivi "Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo" . Ukizingatia kilichotokea Rwanda, Burundi na DRC ni dhahiri kwamba hatua zaidi ya kuanzisha mahakama za jinai, kupigana vita na kuwindana kama wanyama zinatakiwa kuchukuliwa kama ilivyofanyika kule Afrika Kusini.

Bila hivi, mzizi wa fitina hauwezi kukatwa hata siku moja. Itakuwa sawa na kilichotokea kule Yugoslavia, kwamba nchi ilipiga hatua kali za kiuchumi wakati wa dikteta Josip Broz Tito hadi kuwa mfano wa kuigwa duniani. Ila baada ya Tito kuondoka madarakani Croatians, Serbians na Albanians walichinjana kama kuku (Ukabila) kila mtu akiwa na vinyongo vya muda mrefu na mwenzake.

Ethiopia nako ni vilevile tu: Kaondoka Haile Selassie tu, Eritreans, Tigrians and Oromo walitaka kuuana, lakini The Derg (Military Junta) chini ya dikteta Mengitsu Haile Mariam wakazuia uuaji. Muda ukapita Ethiopia ikaonekana kuwa ina amani.

Lakini baada ya The Derg kuanguka tu, Eritreans, Tigrians na Oroma wakakabana makoo. Mpaka leo hii, damu isiyo na hatia inamwagika kul Tigray kwasababu ya Makosa yaliyofanywa, kufichwa na kupuuzwa kwa miaka zaidi ya 200 na watawala mbalimbali wa Abyssinia, Tigray na Ethiopia.

Tumewekewa historia ili tujifunze na kuepuka kufanya makosa ambayo yamewagharimu wenzetu. Sasa, binafsi sijaona utofauti mkubwa ambao Rwanda inao kulinganishwa na nchi kama Yugoslavia au Ethiopia.

Be vigilant my friend and Merry Christmas....

Bwana Yesu azaliwe upya ndani ya mioyo yetu....
Mkuu nakuomba ikikupendeza uelezee kidogo hii bifu ya hayati B.W.Mkapa na Kagame..nini kilikuwa chanzo na ishu iliishaje?
 
Hili la msimamo wa Mzee Nyerere kuhusu kutaka Tanzania isaidie Rwanda mwaka 1994 hadi kuitisha kikao na waandishi wa habari mbona linafahamika vizuri tu: Halihusiana chochote na ICTR. Wewe hukulisikia ???

Swali jingine: Mobutu alitakiwa kuwepo kwenye mkutano wa amani Arusha (Arusha Peace Accords) kwasababu Zaire ni mdau mkubwa wa siasa za Rwanda. Sanjari na hilo, Raisi Hyabarimana alikuwa akimchukulia Raisi Mobutu kama kaka yake (The God Father).

Kwanini Raisi Mobutu alikataa kuja Tanzania kuhudhuria mkutano wa Arusha mnamo dakika za mwisho kabisa na kumshauri Hyabarimana naye asije ???
Hili swali la mwisho nakujibu.

Mobutu alikataa kufika mkutanoni baada ya kunasa info za kumpindua, yeye pamoja na hibyamana. Na mratibu alikuwa mzee mchonga. Mchonga na mobutu walishawahi vimbiana kwenye vikao, mobutu akamwambia mchonga, Tanzania ni ndogo kuliko Congo, na haina lolote kwa congo....kwamba kuiongoza Congo lazima uwe na akili nyingi, Tanzania sio congo so shutup your mouth. Mchonga akawa kimya na kinyongo juu. Bahati mchonga alikuwa mwenyekiti wa kuratibu nchi moja africa, upande wa kusini na kati mwa africa. Ndiyo maana brifying nyingi za nchi zote alikuwa anapewa na kukoment..... aliandika na kitabu kabisa nahisi walikificha
 
Hata Kagame anajua wahutu kwa sasa hawawezi kufanya chochote hofu yake Ni hao hao wenzake, inasemekana hamna watu alikuwa anawaogopa Kama Nyamwasa na Karegeya, lkn pia hao ndio alikuwa kwenye msoto msituni.
Tupe na list ya majenerali wakati wa Habyarimana.
Mkuu huko deep sana. Elezea Zaid
 
Hili swali la mwisho nakujibu.

Mobutu alikataa kufika mkutanoni baada ya kunasa info za kumpindua, yeye pamoja na hibyamana. Na mratibu alikuwa mzee mchonga. Mchonga na mobutu walishawahi vimbiana kwenye vikao, mobutu akamwambia mchonga, Tanzania ni ndogo kuliko Congo, na haina lolote kwa congo....kwamba kuiongoza Congo lazima uwe na akili nyingi, Tanzania sio congo so shutup your mouth. Mchonga akawa kimya na kinyongo juu. Bahati mchonga alikuwa mwenyekiti wa kuratibu nchi moja africa, upande wa kusini na kati mwa africa. Ndiyo maana brifying nyingi za nchi zote alikuwa anapewa na kukoment..... aliandika na kitabu kabisa nahisi walikificha
So alipata nafasi ya kumnyoosha mobutu baadae kwa kutumia wale vijana wake aliyowalea huku Tz. Ndio maana nchi zote kasoro kenya zikuja kuongozwa na vijana wa mchonga
 
Back
Top Bottom