Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,
Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%.

Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi?

Wajinga ndiyo waliwao!!
 
Akili uliyotumia hapa ungeitumia kwa ccm
 
Masikini sadaka anaipata wapi?
Ghalama za matibabu zitalipwaje au vyote vinapatikana Bure ?
yaani vifaa tiba, madawa, wahudumu wa afya, vipimo, matengenezo nk
Hizo hospitali zinahudumia hata wasio waumini,hao ndiyo walipe.

Au ziwape discount waumini wao.
 
Nikikumbuka michango na harambee za ujenzi chuo cha SAUT Mwanza 2001/2002 parokia za hapo town ni heri wachangiaji wawe wanatambulika na kupewa hata punguzo.

Wachangia damu si hupata favor wakati wa uhitaji? Hakuna kinachoshindikana kwenye taasis za dini.

Kuna seminary ipo Ushirombo toka ianzishwe kila mwaka jimbo zima wanachangishwa gharama za uendeshaji na inatoza ada,how?

Waumini watambulike walipe pungufu!!
 
Hapo sasa , ngoja waje kujisifu , tuna mashule , tuna nn ..Nakumbuka kuna ndugu yangu, sister mwanaye ni mkatoliki aliacha shule ya katoliki kisa ada , shemeji alifariki miaka ile kwa ajali so maisha yalikuwa magumu ..Ila jamaa alisoma shule nyingine private ya kwanza aliondolewa kisa ada kuwa kubwa .

Siku zote nawaambia hizo ni biashara za watu , hazihitaji ushabiki ..Tuna shule , tuna vyuo mara hospital mwisho wa siku ni biashara hizo , ukiwa na pesa fresh unapata huduma . Ukiachana na hizo , kuna nyingine wanapima kwa usaili ukishindwa basi hauwezi kuandikishwa , yaani unatengwa kutokana na uwezo wako mdogo , hapo ukija serikali ni kwa wote ..Siku zote serikali itabaki kuwa bora sio kufananisha na vikundi vidogo vidogo vya dini .​
 
Ingekuwa uwezo wangu, makanisa na misikiti na sehemu zote za dini zingelipa kodi.

Anyway, hata nyumbu wa ccm wanaipigia domo chama chao ila kwenye kunyooshwa kwenye ugumu wa maisha tupo nao sambamba hadi sisi tusio na chama.
Haya mambo hayataki ushabiki ukiwa na akili , nashangaa watu kuleta ushabiki .Mwisho wa siku maumizi kwa wote . Unakuta mtu maskini anachangiwa mtaani ili akatibiwe hospital ya dini .
 
Hapo sasa , ngoja waje kujisifu , tuna mashule , tuna nn ..Nakumbuka kuna ndugu yangu, sister mwanaye ni mkatoliki aliacha shule ya katoliki kisa ada , shemeji alifariki miaka ile kwa ajali so maisha yalikuwa magumu ..Ila jamaa alisoma shule nyingine private ya kwanza aliondolewa kisa ada kuwa kubwa .

Siku zote nawaambia hizo ni biashara za watu , hazihitaji ushabiki ..Tuna shule , tuna vyuo mara hospital mwisho wa siku ni biashara hizo , ukiwa na pesa fresh unapata huduma . Ukiachana na hizo , kuna nyingine wanapima kwa usaili ukishindwa basi hauwezi kuandikishwa , yaani unatengwa kutokana na uwezo wako mdogo , hapo ukija serikali ni kwa wote ..Siku zote serikali itabaki kuwa bora sio kufananisha na vikundi vidogo vidogo vya dini .​
Hata shule za serikali wanao nufaika ni watoto wa wana CCM wenye vyeo vya juu kwa kupangiwa shule nzuri za vipaji na vyuo bora.
Watoto wa maskini wanakuwa na ufaulu mzuri lakini wanapelekwa kuanzisha shule mpya.
 
Yote ni miradi ya watu
 
Hizo huduma zilipaswa kuwa social safety nets kwa maskini, lakini sasa zimekuwa premium services inayowatenga hasa wale waliozifanya ziwepo. Charity has lost its soul to commercialization.
 
Back
Top Bottom