Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

Masikini hao ndo mataqo kabisa yupo tayari nyumbani kwake kuwe kuchafu ila aende akafagie nyumba ya mchungaji. Hao ni mitaji ya kanisa kama ilivyo kwa wajinga wengi walivyokuwa mtaji wa ccm.
Piga kimya acha wateseke😂
 
Hii dunia ili ushinde lazima uwatawale watu , wengine waktumikie wewe .
 
Unataka mapadri na masister wawe wanazunguka kila kaya kutambua kipato cha familia ili wakatibu na kuwasomesha wale wasiojiweza? Dini hasa ukristo hasa RC huwa tunazingatia usawa! tajiri na masikini wote tuko sawa.
 
Mtu mpaka anachangiwa mtandaoni , kwa nn taasisi za dini zisimtibu kwa kutumia hopspital zao ?
 
mbona hujiulizi kwanini mafisiemu hayaachi kununua magari mpaka ya bilioni huku masikini wakizidi kuongezeka na hawana hata dawa za kupunguza maukimwi sasa wanakamua mpaka waagiza magari walipie ARVs, nchi ya wabinafsi kuanzia hao wanaojiita wana dini mpaka chawa wa vyama na mama yao.
 
Hata shule za serikali wanao nufaika ni watoto wa wana CCM wenye vyeo vya juu kwa kupangiwa shule nzuri za vipaji na vyuo bora.
Watoto wa maskini wanakuwa na ufaulu mzuri lakini wanapelekwa kuanzisha shule mpya.
Ni kweli mkuu, utakuta mtoto wa Waziri anasoma Feza au International School of Tanganyika.
Waziri wa namna hiyo hawezi kuaminika kusimamia elimu ya vijana wetu wanaosoma shule za kata.

Hata hivyo kwenye taasisi zetu za kidini kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Taasisi zinendesha shuguli za kiuchumi kama elimu, afya nk.
Swali, faida itokanayo na biashara hizo inamfaidisha nani?
Ingekuwa vizuri angalau walipie bima ya afya za waumini wenye kipato kidogo ili nao wafaidi sadaka zilizotolewa na waumini wenzao.
 
Mtoto wa mjumbe wa bodi ya shule ya msingi ya Uwata alirudishwa nyumbani akiwa darasa la sita kisa hajamaliza ada sh.160,000, yule mama hakuamini aisee!!
Akamhamisha mtoto wake siku hiyo hiyo.
Huyo mama alikuwa mmoja wa waanzilishi wa shule zote za Uwata.
Hizi dini zipo kufanya biashara kubwa na zenye faida kubwa bila kuguswa na serikali.
 
Akili uliyotumia hapa ungeitumia kwa ccm
Ccm imeingiaje hapa,mie siyo shabiki wa siasa kenge wewe sina ucdm wala uccm peleka ujinga wako kule wa kudhani heche au lissu atakurekebishia maisha yako wakati wanajenga familia zao!!
 
Wewe pumbaf kweli sina maisha yakurekebishiwa... Maisha yalishasimama kabla sijatungwa kuwa mimba
P.wahed
 
Back
Top Bottom