HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Sadaka ndio zinajenga shule, Kanisa, hospital na bado hawapati msaada wowote.Masikini sadaka anaipata wapi?
Ghalama za matibabu zitalipwaje au vyote vinapatikana Bure ?
yaani vifaa tiba, madawa, wahudumu wa afya, vipimo, matengenezo nk
Akili uliyotumia hapa ungeitumia kwa ccmHabarini,
Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%.
Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi?
Wajinga ndiyo waliwao!!
Hizo hospitali zinahudumia hata wasio waumini,hao ndiyo walipe.Masikini sadaka anaipata wapi?
Ghalama za matibabu zitalipwaje au vyote vinapatikana Bure ?
yaani vifaa tiba, madawa, wahudumu wa afya, vipimo, matengenezo nk
Faida anapata nani?Masikini sadaka anaipata wapi?
Ghalama za matibabu zitalipwaje au vyote vinapatikana Bure ?
yaani vifaa tiba, madawa, wahudumu wa afya, vipimo, matengenezo nk
Haya mambo hayataki ushabiki ukiwa na akili , nashangaa watu kuleta ushabiki .Mwisho wa siku maumizi kwa wote . Unakuta mtu maskini anachangiwa mtaani ili akatibiwe hospital ya dini .Ingekuwa uwezo wangu, makanisa na misikiti na sehemu zote za dini zingelipa kodi.
Anyway, hata nyumbu wa ccm wanaipigia domo chama chao ila kwenye kunyooshwa kwenye ugumu wa maisha tupo nao sambamba hadi sisi tusio na chama.
Hata shule za serikali wanao nufaika ni watoto wa wana CCM wenye vyeo vya juu kwa kupangiwa shule nzuri za vipaji na vyuo bora.Hapo sasa , ngoja waje kujisifu , tuna mashule , tuna nn ..Nakumbuka kuna ndugu yangu, sister mwanaye ni mkatoliki aliacha shule ya katoliki kisa ada , shemeji alifariki miaka ile kwa ajali so maisha yalikuwa magumu ..Ila jamaa alisoma shule nyingine private ya kwanza aliondolewa kisa ada kuwa kubwa .
Siku zote nawaambia hizo ni biashara za watu , hazihitaji ushabiki ..Tuna shule , tuna vyuo mara hospital mwisho wa siku ni biashara hizo , ukiwa na pesa fresh unapata huduma . Ukiachana na hizo , kuna nyingine wanapima kwa usaili ukishindwa basi hauwezi kuandikishwa , yaani unatengwa kutokana na uwezo wako mdogo , hapo ukija serikali ni kwa wote ..Siku zote serikali itabaki kuwa bora sio kufananisha na vikundi vidogo vidogo vya dini .
Yote ni miradi ya watuHata shule za serikali wanao nufaika ni watoto wa wana CCM wenye vyeo vya juu kwa kupangiwa shule nzuri za vipaji na vyuo bora.
Watoto wa maskini wanakuwa na ufaulu mzuri lakini wanapelekwa kuanzisha shule mpya.
Hapo tumeelewana.Yote ni miradi ya watu