Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Hawana hulka za kuuana tu. Ukiacha kukosekana mauaji ya visa vya mapenzi hata kuua albino, vikongwe na visa vingine vya kishirikina hutosikia. So wana namna ya kudeal na hizi issues bila kuuana sababu sio imoja ya solution.
 
kila muda kavaa msuli atafanya kaz gan zaid ya kunywa kahawa?....vumilieni tu mapanga muhimu mfuate kanuni za kuwa mke wa mtu!
 
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko

Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Is how wanavyo ya define mapenzi. Makabila ya pwan kwa tamaduni zao wao mapenzi ni accessible kirahisi sana, sex ni rahisi sana kupatikana. So ukimzingua ana list ndefu. Unlike makabila mengine its not that simple
 
Sababu ni nyingi sana.

Wanaume wa huko hawahudumii hivo hata akigundua amechitiwa fresh2

Uchawi vidada vya huko vingi vinawajua waganga kulko sehemu yyte hapa Bongo hivyo mwanaume kutulizwa ni chap2

Watu wa huko wanaanza Mapenzi wakiwa wadogo hvo wanakuwa sugu suguaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…