chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Kwema WanaJF,
Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo Sana Kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka laki tano akitaka.
Najiuliza jinsi ya kukabiliana na haya Ni njia ipi itumike.
Sawa mkuuHuna adabu kwa wazazi ndiyo sababu unachukiwa!
Duh hii inawezekanaje?Kama umeshakuwa mtu mzima pambana tu na maisha yako, wazazi wengine hulogwa na watoto wao ili wapoteze upendo kwa wengine.
Achana na wachawi
Inawezekana kwa kuwa shetani yupoDuh hii inawezekanaje?
Haya bhanaHaiwezekan una watoto 5 uwapende wote sawa
Labda uzae mmoja tu
Ukizaa zaidi kuna mmoja atakuwa kipenzi zaidi nadhan moyo wa binadam haugawanyiki
Ok nimekuelewaInawezekana kwa kuwa shetani yupo
Sawa kabisaYes, hujafanya lolote na hupendwi tu na mzazi yeyote .
Mf. Mimi baba ndio alikuwa anapretend kunipenda maana yeye anapenda ndugu zake sana kushinda sisi,mama hafichi ni ndugu zake na dada zangu wawili na kaka yangu mmoja .
Hata umpe moyo Wala hakuoni ishi maisha Yako Tena wewe wasikutawale usiwaonyeshe fanya mambo Yako ya msingi .
Pretend kama wanavyopretend ila usiwe mstari wa mbele kuonekana unajua
Sijalalamika mkuu ila hii situation sometimes sio poaUsipende kulalamika sana mkuu. Kama wazazi wamekutunza na kukupa mahitaji yote muhimu mpaka umekuwa mtu mzima basi washukuru sana.
Na usipende kuchunguza sana kuhusu wamefanya nini Kwa ndugu zako wengine, hiyo tabia itajenga chuki na uadui kwenye familia.
Pambania kombe lako.
Kwa nini mkuu?Ni kawaida tu, mimi mwenyewe katika wazazi wangu mmoja sina time nae na hata familia nzima inajua
Ahah unaweza kuwa mpole na hupendwi tu.Chunguza makuzi yako tu,kwenye familia yetu ndugu zangu wanasema mimi napendelewa.ila ukweli ni kuwa toka niko mdogo sikuwa na mambo mengi,hadi leo Bmkubwa anasema katika watoto wangu huyu jamaa hakuwahi kunisumbua kabisa ukizingatia shuleni pia sikuwa vibaya.Mpaka nimekuwa mtu mzima nakumbuka wakati nafanya kaujenzi kangu nikaona Bmkubwa ananitumia ongezea nguvu mwanangu.
Binadamu hana uwezo wa kupenda kwa moyo moja watu zaidi ya wawili hiyo ni nature tu. Hata ukioa wake wanne, mmoja ndio unayempeda zaidi. Hata mademu wakiwa na wanaume hata 10, aliyepo moyoni mwake ni mmoja tu. Hiyo ni nature tumeumbwa hivyo binadamu.Kwa nini mkuu?