chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
- Thread starter
- #21
SawaBinadamu hana uwezo wa kupenda kwa moyo moja watu zaidi ya wawili hiyo ni nature tu. Hata ukioa wake wanne, mmoja ndio unayempeda zaidi. Hata mademu wakiwa na wanaume hata 10, aliyepo moyoni mwake ni mmoja tu. Hiyo ni nature tumeumbwa hivyo binadamu.