Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

Upendo haugawanyiki kama mzazi unajitahidi kadri ya uwezo wako kubalance watoto wasishtuke kua unampendelea fulani. Halafu familia nyingine unakutwa yule anayependwa na mama ndio kimeo kweli
Afu kweli yaan.
 
Tafuta hela watakupenda hata kinafiki kutokana na hela zako
 
Wenginee tumeshazoea hiyo hali, hata hatustukii walaa. Nikipewa chochote nashukuruu hata km wenzangu wana/watapewa vikubwa zaidi huwa sijari.

Kila siku najisemeaga kimoyoni, napambania kombe langu,. Afu sema nyie mnafuatilia sana na kuchokonoa kiundani.

Sie wenginee tupooo kmyaa had wazazi enyewe sometimes wanajistukiaaa. Afu unakuta hatujali wala nn, pigania life lako.
Ukijipendaa wee mwenyewee inatoshaaa.
 
Chama wewe hauna soko tena

Sema kuhusu wazazi kuwapendelea baadhi ya watoto wao sababu moja wapo ni hii

Kuna baadhi ya watoto hawana tabia mbaya yaani unakuta mtoto hana kabsa tabia chafu anawasikiliza wazazi akiambiwa kitu anatekeleza haraka sana yaani hana mda wa kumdisrespect mzazi au wazazi , hii ni sababu moja wapo Na upendo una tabia ya kureflect so ukiona mtu anakufanyia vitu vizur anakuheshimu anakusikiliza automatical na wewe utampenda na utamsikiliza so ukijinyenyekeza kwa wazaz wako lazima tu watakuchagua
 
Lakini sometimes mkorofi ndo anapendwa
 
Kwema WanaJF,

Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka laki tano akitaka.

Najiuliza jinsi ya kukabiliana na haya Ni njia ipi itumike.
... mfano mko wawili; wote ninawasomesha kwa gharama shule za maana; mwenzio academic ripoti zake ni A A A A A A A B A wewe ni F F F D F F C D F. Sio kwamba huna uwezo, ila uko much engaged na mambo mengine ya kijingajinga; mwenzio yuko very serious na academics awe shule au likizo.

Mwenzio hajawahi kunipa shida kwenye interviews za kujinga na shule; shule zote alizofanya interview kapata zote tena with distinction hadi anachagua mwenyewe shule aitakayo. Wewe kila mara ni lazima "tukaongee" na Mwl. Mkuu ili upate nafasi.

Haiwezekani niwapende wote sawa! Haipo! Huo ni mfano tu; yako mengine mengi katika maisha yanayopelekea upendo wa mzazi utofautiane baina ya watoto. Katafune mabange yako huko ulete fujo home kudai ugali wa kutosha uone kama mzazi atakujali.
 
Dawa wewe kuwanyoosha wazazi wako ondoka zako nenda mbali kabisa na wazazi halafu kaa kimya, jitafute maisha endelea na habari zako.

Watakaa siku wataanza kukuulizia wajibu kifupi tu kuwa uko poa unatafuta maisha. Halafu unapiga kimya unaendelea na mitikasi zako.

Ukifanya hivi kwa muda wa miaka miwili lazima waanze kuwa busy na wewe unawatumia zawadi halafu unakaa kimya. Utaona.
 
Hii Safi sana
 
... mfano mko wawili; wote ninawasomesha kwa gharama shule za maana; mwenzio academic ripoti zake ni A A A A A A A B A wewe ni F F F D F F C D F. Sio kwamba huna uwezo, ila uko much engaged na mambo mengine ya kijingajinga; mwenzio yuko very serious na academics awe shule au likizo.

Mwenzio hajawahi kunipa shida kwenye interviews za kujinga na shule; shule zote alizofanya interview kapata zote tena with distinction hadi anachagua mwenyewe shule aitakayo. Wewe kila mara ni lazima "tukaongee" na Mwl. Mkuu ili upate nafasi.

Haiwezekani niwapende wote sawa! Haipo! Huo ni mfano tu; yako mengine mengi katika maisha yanayopelekea upendo wa mzazi utofautiane baina ya watoto. Katafune mabange yako huko ulete fujo home kudai ugali wa kutosha uone kama mzazi atakujali.
Sawa Ni mtazamo wako
 
Kwema WanaJF,

Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka laki tano akitaka.

Najiuliza jinsi ya kukabiliana na haya Ni njia ipi itumike.
Kwa hamli pamoja kama familia Hadi upewe 5000 Kwa siku?
 
Back
Top Bottom