Kwanini wazazi huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto na wengine hubaguliwa?

Binadamu hana uwezo wa kupenda kwa moyo moja watu zaidi ya wawili hiyo ni nature tu. Hata ukioa wake wanne, mmoja ndio unayempeda zaidi. Hata mademu wakiwa na wanaume hata 10, aliyepo moyoni mwake ni mmoja tu. Hiyo ni nature tumeumbwa hivyo binadamu.
Sawa
 
Aisee haya
 
Ahah unaweza kuwa mpole na hupendwi tu.
Uko sahihi nina watoto 3 mmoja menicopy kila kitu ,ila kuna mmoja ni mtundu sana ,fujo nyingi ila huyu sipindui akiguswa hata na mama yake anajua reaction inayotokea
 
Me mama angu akisikia tu naumwa nusu saa yupo mlangoni kwangu.
 
Huo ni
uko sahihi nina watoto 3 mmoja menicopy kila kitu ,ila kuna mmoja ni mtundu sana ,fujo nyingi ila huyu sipindui akiguswa hata na mama yake anajua reaction inayotoke
Hiyo sio sawa mkuu jitahidi kubalance mambo
 
Ni kawaida tu mkuu kila familia ina icho kitu

Hata wewe ukiwa na watoto utajione so kama bahati haikua upande wako relax na wala usionyeshe chuki yeyote
 
Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine...
 
mh na kuna wazazi wengine wanapenda watt wenye hela tuu..
 
Upendo haugawanyiki kama mzazi unajitahidi kadri ya uwezo wako kubalance watoto wasishtuke kua unampendelea fulani. Halafu familia nyingine unakutwa yule anayependwa na mama ndio kimeo kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…