Afu kweli yaan.Upendo haugawanyiki kama mzazi unajitahidi kadri ya uwezo wako kubalance watoto wasishtuke kua unampendelea fulani. Halafu familia nyingine unakutwa yule anayependwa na mama ndio kimeo kweli
Haswaaaaah!!!Tafuta hela watakupenda hata kinafiki kutokana na hela zako
Lakini sometimes mkorofi ndo anapendwaChama wewe hauna soko tena
Sema kuhusu wazazi kuwapendelea baadhi ya watoto wao sababu moja wapo ni hii
Kuna baadhi ya watoto hawana tabia mbaya yaani unakuta mtoto hana kabsa tabia chafu anawasikiliza wazazi akiambiwa kitu anatekeleza haraka sana yaani hana mda wa kumdisrespect mzazi au wazazi , hii ni sababu moja wapo Na upendo una tabia ya kureflect so ukiona mtu anakufanyia vitu vizur anakuheshimu anakusikiliza automatical na wewe utampenda na utamsikiliza so ukijinyenyekeza kwa wazaz wako lazima tu watakuchagua

... mfano mko wawili; wote ninawasomesha kwa gharama shule za maana; mwenzio academic ripoti zake ni A A A A A A A B A wewe ni F F F D F F C D F. Sio kwamba huna uwezo, ila uko much engaged na mambo mengine ya kijingajinga; mwenzio yuko very serious na academics awe shule au likizo.Kwema WanaJF,
Huwa najiuliza kwa nini inatokeaga hivi, mfano kwenye familia yetu hii ipo sana kuna watoto pendwa hawawezi lala njaa hata kama hawana hela wanapewa na ni watu wazima na familia zao ila kwa wengine hata ukiomba elfu tano tu hupewi, unashinda njaa daily, mwenzio anaweza pewa mpaka laki tano akitaka.
Najiuliza jinsi ya kukabiliana na haya Ni njia ipi itumike.
Ila kwa watoto wengineMe mama angu akisikia tu naumwa nusu saa yupo mlangoni kwangu.
Yani hadi hua wanamwambia yani ww mtoto ako sijui ni mmja tuIla kwa watoto wengine
Hii Safi sanaDawa wewe kuwanyoosha wazazi wako ondoka zako nenda mbali kabisa na wazazi halafu kaa kimya, jitafute maisha endelea na habari zako.
Watakaa siku wataanza kukuulizia wajibu kifupi tu kuwa uko poa unatafuta maisha. Halafu unapiga kimya unaendelea na mitikasi zako.
Ukifanya hivi kwa muda wa miaka miwili lazima waanze kuwa busy na wewe unawatumia zawadi halafu unakaa kimya. Utaona.
Sawa Ni mtazamo wako... mfano mko wawili; wote ninawasomesha kwa gharama shule za maana; mwenzio academic ripoti zake ni A A A A A A A B A wewe ni F F F D F F C D F. Sio kwamba huna uwezo, ila uko much engaged na mambo mengine ya kijingajinga; mwenzio yuko very serious na academics awe shule au likizo.
Mwenzio hajawahi kunipa shida kwenye interviews za kujinga na shule; shule zote alizofanya interview kapata zote tena with distinction hadi anachagua mwenyewe shule aitakayo. Wewe kila mara ni lazima "tukaongee" na Mwl. Mkuu ili upate nafasi.
Haiwezekani niwapende wote sawa! Haipo! Huo ni mfano tu; yako mengine mengi katika maisha yanayopelekea upendo wa mzazi utofautiane baina ya watoto. Katafune mabange yako huko ulete fujo home kudai ugali wa kutosha uone kama mzazi atakujali.
Kwa hamli pamoja kama familia Hadi upewe 5000 Kwa siku?Kwema WanaJF,