Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

Wanakula kidogo Ili chakula kisagike tumboni na kuhisi njaa Ili ale tena kidogo, kingine wanakula kidogo vyakula vinavyojenga mifupa sana kuliko nyama za nje na sisi tunakula zaidi kujenga nyama za mwili kuliko mifupa, kuhusu vyakula vya supermarket ni sawa ndo wananunua ila wananunua vile asilia na Bora ambavyo ukila mwili unakuwa umepata lishe kamili mfano wao wananunua butter iliyosindikwa kutoka maziwa inafaida zote mwilini sisi tunanunua blue band ambayo ni mafuta tu, wanatumia cheese iliyotolewa kwenye maziwa mgando sisi tunatumia maziwa mgando yaliyochakachuliwa hiyo jibini, vingine wanakula kidogo kwa kipimo cha siku kinachorusiwa kiafya na kuacha tumbo lifanyekazi Ili akili isilale ila sisi tunashibisha tumbo kupita kiasi mpaka mtu anasikia usingizi baada ya kula.
 
5 meal day.
Before breakfast
Breakfast
Before lunch
Lunch (bread&fruit) included
After lunch(smooth youghort)
Dinner sa moja si zaidi.
Huyo mtu unafkiri atakua na njaa ya kula ugali na kitimoto
Umesahau kuokoteza mitaani kama watu wa Dar.Muhindi, juis, biskuti, maji, kalmati,sambusa,donati nk.wanajaza mitumbo kila mda.
Sisi tunakula mara tatu tu kwa siku.
Halafu hawafanyagi kazu nzito zinazohitaki glucose kwa wingi.
 
Umelemba ili iweje kwba tuige ulaji wao. Mivyskula iliodondikwa ina ubora gani.Junk food ndio chakula cha maana.
Mnapenda kuonesha kuwa wazungu kila kitu wapo sahihi wakati mambo mengi tu hawapo sawa likiwepo la chakula.
Mbona wajapani wana lishe nzurri zaidi kuliko hao wazungu.
 
kiporo cha makande au wali maharage ..ndiyo maana tuna rasilimali zoooote lakini hatutoboi ...kila siku stori kuhusu rasilimali tulizonazo lakini tunabaki masikini wa kutupwa
 
Umeelewa nilichomaanisha au unataka uchokozi? Haya nasisitiza wanakula chakula kidogo na kwa afya tena hizo unaita junk food wao wanakula kilichobora, unajua utofauti wa butter na margarines Sasa mzungu ananunua butter iliyotoka kwenye maziwa ndo anapaka mkate then anatost kidogo anakunywa na chai ambayo butter inarudisha collagen na hizo margarine unajaza mafuta tu, na akila vitu vya ngao anaweka cheese sisi tunakula chapati na maandazi yenye chumvi au sukari bila kupaka hata butter, nenda muda wa kula lunch wakati bugger imewekwa mbogamboga mbichi na cheese kwa wingi wewe utakula ugali mkubwa uliojaa wanga na mboga zilizopikwa mpaka zikapoteza virutubisho vyote na baada ya kula unasikia usingizi kwa kujaza tumbo na kama upo kwenye kikao hata hoja zako zinageuka kuwa za ajabu ajabu tu maana tumbo limelemewa na uzito wa chakula kupitiliza, hao wajapani unaosema wanakula vizuri pia bado ni weupe ni jamii moja ila wao wanapenda mwonekano wa ngozi nzuri mpaka uzeeni ndo maana wanapenda kula vyakula vya vizuri vya kuweka muonekano wao ubaki wa ujana au utoto kikubwa kula chakula kidogo na kizuri kwenye Nchi za kiafrika ni gharama sana maana vizuri tunavigawa kwa wazungu mfano hizo jibini na butter vitu vilivyopewa sifa mpaka mbinguni vikiliwa Kila siku ni afya tele hata na asali angalia bei yake wakati sisi tunalilia minyama tele wenzetu wanalilia product zilizotoka kwenye maziwa zenye afya tele.
 
Wazungu wanakula zaidi vyakula vilivyochakatwa viwandani(processed foods) na vyenye sukari nyingi ambavyo ni vyakula vibaya sana kwa afya.
Sio kweli.
 
Haya mkuu, siwezi kuyazuia mahaba yako kwa wazungu.
Ila nachojua wazungu hawana nguvu kama sisi.
Hutuwezi ishi kama wazungu na wao hawawezi kuishi kama sisi, sisi ni binadamu wawili tofauti tunaolazimisha kufafana kwa kila kitu. Hata wazungu na wachina, na warabu na wahindi hawafanani ulaji wao.
 
Itakua basi nami mzungu ila rangi kama yao imegoma,imagine mi nakula tu mchicha usiku for dinner na kiazi kitamu na yai la kuchemsha for breakfast,
Yani ndo my daily routine
 
Itakua basi nami mzungu ila rangi kama yao imegoma,imagine mi nakula tu mchicha usiku for dinner na kiazi kitamu na yai la kuchemsha for breakfast,
Yani ndo my daily routine
Unamaintain figure au?
 
Unaogopa kunywa bia Kila siku kwani zinang'ata?
 
Sisi laifu yetu ni very manyi ila wao ni very digital so application ya nguvu sisi n kubwa lazma Tulee

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kula sana inategemea na afya yako na maandalizi ya chakula
Unaweza kutaman kula sana kumbe afya yako mgogoro, chakula kidogo uneshakinai.
Si unakumbuka kipndi Drogba alikata kuku wawili peke yake alafu mchezaji wa bongo nusu kipaja tu ameshakinai.
 
Itakua basi nami mzungu ila rangi kama yao imegoma,imagine mi nakula tu mchicha usiku for dinner na kiazi kitamu na yai la kuchemsha for breakfast,
Yani ndo my daily routine
Utakuja ufe wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…