Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki misa yote 3 hutaona mtu kaangushwa na mapepo.
Kwa sabato pia ni nadra sana kama wapo ni mara chache sana maana nimehudhuria sana kwenye mikutano yao na hivyo tu hadi kwenye makambi yao nimeenda sana lakini sijawahi kuona watu wanaangushwa na mapepo kama huko ulokoleni kulikoni watumishi?
SOMA

Nikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu.
Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato.
Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na suruali za vitambaa.
Nilijifunza Kwa bidii sana hii ilikuwa mwaka2015. Kwa sababu nilibobea kwenye kujifunza majina yetu yakaoredheshwa Kwa ajiri ya ubatizo siku ilipofika sikwenda na simu nikazima kabisa maana halikuwa lengo langu.
Siku zikaenda likawepo kusanyiko fln la mitaa2 kujadiri mambo fln hapo Sasa ndo niliona fursa maana niliona mabinti wenye nywere asili wasio na mkorogo Wala majivuno...

- Nikifa MkeWangu Asiolewe
- kambi ya wasababto wasabato
- Replies: 132
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki