Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Kutoa madai ya moja kwa moja kwamba Mungu yupo bila uthibitisho pia ni UONGO.Ndio maana nasema mwisho wa siku ni suala la kuchagua tu msimamo wako na ndio maana watu wamekuwa wakibadili misimamo.
Mwengine atasema Mungu yupo ila sio kama anavoelezewa na dini na kwamba dini ni uongo, mwengine atasema hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu ila haleti madai ya kudai hayupo, wengine ndio mnatoa madai ya moja kwa moja kuwa mnajua hakuna Mungu.
Na huyo Mungu unayedai yupo bila uthibitisho hayupo.
Ukibisha Mungu hayupo, thibitisha Mungu yupo.