Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

Kuzaliwa Africa ni laana yani hadi leo karne ya 21 bado hujui hata wazungu wanasumbuliwa na mapepo?

Zile movies za kutisha wanazotoa kila leo tena true story zimerekodiwa na kanisa nazo hamzionagi?

CCM isitoke madarakani aisee kama vijana wenyewe ndo hawa tia mchuzi
 
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!

Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.

Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki misa yote 3 hutaona mtu kaangushwa na mapepo.
Kwa sabato pia ni nadra sana kama wapo ni mara chache sana maana nimehudhuria sana kwenye mikutano yao na hivyo tu hadi kwenye makambi yao nimeenda sana lakini sijawahi kuona watu wanaangushwa na mapepo kama huko ulokoleni kulikoni watumishi?

SOMA
Ni kwa sababu hawapewi vijifedha wajiangushe ili kusaidia hawa washenzi wanaojifanya kutenda miujiza wakati ni ujambazi wa kawaida.
 
Haya sasa ,mimi nikisema naonekana m baya.
Wanakuonea. Hapa hujawakuta wamejifungia kanisani wanalia kwa lugha zisizo elewaka... Wanapenda fujo kichizi wakiwa wanaongea na mungu wao.. Wata hivo mungu wao mvumilivu saaaaaana. Maana sio kwa wanavomfokea.
 
Kuzaliwa Africa ni laana yani hadi leo karne ya 21 bado hujui hata wazungu wanasumbuliwa na mapepo?

Zile movies za kutisha wanazotoa kila leo tena true story zimerekodiwa na kanisa nazo hamzionagi?

CCM isitoke madarakani aisee kama vijana wenyewe ndo hawa tia mchuzi
Ni vile tu unabishana kulingana na ukubwa wa mdomo wako. Lete ushahidi hapa.
 
Matajiri wapo, kuna matajiri kibao tu wanajazana kwenye ibada za kina mwamposa. Fuatilia.

Wazungu wapo. Kuna wazungu wengi tu walikuwa wanaenda kwa TB Joshua. Ila sijui kama kwenye nchi zao haya mambo yapo...
Tunaposema wazungu moja kwa moja iweke kichwani UK,USA, GERMANY NK maana hao unao wasema hata Kawe pale wapo wengi tu
 
Hao ulio wataja kwa asilimia kubwa hawaendagi kanisani. Hayo makanisa mara nyingi watu huenda kutafuta msaada baada yakukumbana na magumu flan. Hata wewe ukipata shida kubwa inayovuka mipaka unaweza kujaribu huko
Mbona kwa wazungu hatuoni hayo yote?
 
Nimefanya kazi pale , kuna vituko zaidi ya vya kina Mr bean , mara waimbe mapambio mara waanze kunena kwa lugha kama mnavyodai , mara wacheze ile michezo ya kibaba na kimama ya watoto , mara waigize wapo darsani , mara waigize wamebeba mimba , yani ni full tafrani tu.
Aisee muda huo wameshakubaliana kabisa kwamba wafanye hiki na kile ?
 
Ni uchizi tu na wao wana kiongozi wao wanaye msikiliza ukimwona unaweza fikiri zimo kumbe ni fyatu zaidi.
Kuna dada amewahi kufanya kazi hapo pia sasa kuna siku nikawa nafanya vituko vituko akaniambia umenikumbusha milembe wala sikumzingatia ....Sasa ulichosema hapa nakiri wazi alinifananisha na michizi ya hapo asee
 
Yeah pale kuna vituko vya kila aina
 
Back
Top Bottom