Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

Ni sahihi kabisa, hivyo mtu akiamini kwamba kuwepo kwa Mungu ni jambo la kweli hiyo ni imani yake wala haiwi kuwa inakulazimisha na wewe kukubali hivyo.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kwa hiyo huwezi kusema kuamini tu, kunafanya kitu fulani kiwe kweli.

Ukweli ni kwamba Mungu hayupo hata kama anaaminiwa yupo.
 
Hebu soma kwa kutulia ili uelewe, hakuna.

Hata huko kujua unaweza ukajua jambo ambalo kumbe ni la uongo, mfano mzazi wa kiume analea mtoto akijua ni damu yake kumbe sio kweli si damu yake.

Kwahiyo kama wewe unaona msimamo wa kutokuwepo kwa Mungu ndio ukweli basi sawa ni msimamo wako ila pia wenye kuamini kuwepo Mungu kuwa ni kweli pia ni sawa ni imani yao.

Na tumeshuhudia watu wakiacha kuamini Mungu na kufuata msimamo wa kudai hakuna Mungu, pia tunashuhudia watu ambao walikuwa na msimamo wa kudai hakuna Mungu nao wakibadili msimamo na kuamini uwepo wa Mungu.

Sasa sijui wewe huo ukweli unaozungumzia ni upi katika mazingira kama hayo?
 
Ukweli wenye logical consistency, ukweli wenye mantiki na ukweli wenye uthibitisho.

Habari za Mungu hazina logical consistency, hazina mantiki, hazina ushahidi na wala hazina uthibitisho.

Habari za Mungu ni hadithi uchwara tu kama zile hadithi za Abunuwasi.

Kwa hivyo Habari za Mungu ni Uongo, Hazina ukweli wenye logical consistency, hazina logic, hazina evidence, hazina uthibitisho.

Ni hadithi na stori za vijiweni tu.
 
Sawa ila hadi sasa kama nilivyosema kuna watu wenye misimamo kama yako wanaachana na hiyo misimamo na kufuata msimamo wa kuamini kuwepo Mungu pamoja na kujua yote hayo uliyoyaeleza.
 
Mapepo yanaogopa matajiri(jokes) matajiri hupata matatizo ila mambo yao ni secret sana kiasi kwamba huwezi kujua chochote na kuhisi wao huishi vizuri tu.
Aliekudanganya nani?
 
Sawa ila hadi sasa kama nilivyosema kuna watu wenye misimamo kama yako wanaachana na hiyo misimamo na kufuata msimamo wa kuamini kuwepo Mungu pamoja na kujua yote hayo uliyoyaeleza.
Kila mtu ana uhuru wa kuamini au kutokuamini.

Mtu fulani akibadilika na kuamini Mungu, sio kigezo na wala hakufanyi Mungu huyo awepo kweli.
 
Ni sahihi kabisa, kama ambavyo wewe umetumia uhuru wako kwa kuchagua kufuata mtazamo wa kudai hakuna Mungu. Hivyo ni suala tu la kuamua mwenyewe kufuata mtazamo gani kutokana na sababu zako binafsi au kutokana na jamii husika uliyopo.

Kwahiyo tambua kwamba wakati wewe unaona huo msimamo wa kudai hakuna Mungu kuona kuwa ndio sahihi basi kuna watu walikuwa wakiona hivyo hivyo kama wewe na kwa hoja hizo hizo ila baadaye wakaja kuona makosa kwenye msimamo.
 
Hakuna makosa yoyote kwenye msimamo wa kutokuamini Mungu.

Habari za Mungu hazina ukweli wenye logical consistency.

Na hii ni fact, haina makosa. Mtu abadilike, apande ashuke. Ukweli ni ule ule, hakuna Mungu.
 
Kama ni fact kwamba ndio ukweli basi watu wasingeacha hiyo fact na kwenda kwenye uongo, na ndio maana nasema kuna walichoona hakipo sawa maana hao watu huwa tunasikia hoja zao za kwanini wameachana na huo msimamo wa kudai ya kwamba hakuna Mungu.

Kwahiyo wewe kushikilia kuona huo msimamo wa kudai hakuna Mungu ndio fact wala hakuna cha ajabu hata hao wengine walikuwa zaidi ya wewe maana wengine ni wanasayansi kabisa.
 
Facts don't cease to exist just because they are ignored.

Fact ni Fact na itabaki Fact. Hata kama mtu akibadilika, fact na ukweli hubaki vile vile.

Kutumia wanasayansi walio amini Mungu kuhalalisha imani ya kwamba kuna Mungu, ni kufanya logical fallacy inaitwa celebrity fallacy, appeal to celebrity.

Celebrity Fallacy
Definition:The Celebrity Fallacy is committed when you argue that something is right merely because it is accepted by some famous person(s).
Also Known As:Appeal to Celebrity Fallacy.

Source: Logically Fallacious Appeal to Celebrity
 
Hakuna kipya unachoeleza mkuu, utasema sana ila mwisho wa siku ni kama nilivyosema kuwa ni suala la kuamua kufuata msimamo gani basi. Hakuna fact kwenye madai ya kudai Mungu hayupo labda uonyeshe kasoro kwenye mambo yenye kuhusishwa na huyo Mungu ila sio madai ya kwamba Mungu hayupo useme ni fact.
 
Pia hakuna fact kwenye madai ya kwamba Mungu yupo.

Ni imani uchwara tu. False hopes.
 
Ndio maana nasema mwisho wa siku ni suala la kuchagua tu msimamo wako na ndio maana watu wamekuwa wakibadili misimamo.

Mwengine atasema Mungu yupo ila sio kama anavoelezewa na dini na kwamba dini ni uongo, mwengine atasema hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu ila haleti madai ya kudai hayupo, wengine ndio mnatoa madai ya moja kwa moja kuwa mnajua hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom