Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hapa nilitaka nikushtue kiongozi, kumbe ushatia timu 😹Hakuna Mapepo.
Hakuna Shetani.
Hakuna uchawi.
Hakuna Mungu.
Habari zozote zinazohusu mapepo, majini, Shetani, Mungu, uchawi ni hadithi za danganya toto.