Kwanini wazungu na matajiri hawaangushwi na mapepo?

Mnahangaika sana kuongelea habari za Mungu, Shetani, Mapepo, majini.

Lakini wao wenyewe, hawajawahi kujidhihirisha wenyewe.

Mnahangaika kufosi uwepo wa viumbe wa kufikirika.
Shida ni kwamba kitu pekee kinachokufanya wewe uone upo sahihi dhidi ya hao wenye kuamini hayo mambo ni hoja ya kukosekana uthibitisho tu basi.
 
Huyo Mungu kama yupo ajitetee mwenyewe na kujieleza.

Sio wewe umtetee na uongee kwa niaba yake.

Kwa nini mnafosi vitu ambavyo havipo vionekane vipo kwa kuhangaika kuvitetea na kuviongelea?
 
Kuzaliwa Africa ni laana yani hadi leo karne ya 21 bado hujui hata wazungu wanasumbuliwa na mapepo?

Zile movies za kutisha wanazotoa kila leo tena true story zimerekodiwa na kanisa nazo hamzionagi?

CCM isitoke madarakani aisee kama vijana wenyewe ndo hawa tia mchuzi
Sasa ccm wasipotoka madarakani tatizo si ndiyo litazidi kuwa kubwa? Ujinga na upumbavu mwingi wa watanzania umesababishwa na utawala wa ccm.
 
Uchawi ungekuwepo kweli, mababu zetu wasingeuwawa kama kuku, enzi za utumwa na ukoloni.

Huo uchawi ungewasaidia kuwashinda wazungu.

Uchawi ungekuwepo kweli, Nchi za Afrika zingekuwa zinautumia huo uchawi kwenye michezo na mashindano makubwa ya kimataifa kama world cup.

Lakini hakuna nchi hata moja ya Afrika iliyowahi kutwaa kombe la dunia.

Hao watu wenye nguvu za kuamuru vitu vitokee, wangekuwa wanaamuru mafanikio kwa bara la Afrika katika mashindano makubwa ya kimataifa.

Lakini kiko wapi?
Fikiria kwa upande mwengine pia, hata kama waafrika wangetumia uchawi katika hayo yote uliyoyasema je ni kipi kingekufanya ukubali kuwa hayo mambo ni kutokana na uchawi? Ni wazi usingekubali ungeleta hoja kwamba hakuna uthibitisho.
 
Kinjekitile Ngwale, aliwa danganya wanajeshi wake, waimbe maji maji! maji! Risasi za wajerumani zitageuka nakuwa maji.

Walicho kutana nacho, imekuwa Historia ya vizazi.

Haya huo uchawi ungekuwepo kweli, na ungekuwa unafanya kazi kweli. Risasi za wajerumani zingebadilika na kuwa maji kweli. Lakini hazikubadilika. Na wanajeshi wa kinjekitile waliuwawa kama ndege.
 
Huyo Mungu kama yupo ajitetee mwenyewe na kujieleza.

Sio wewe umtetee na uongee kwa niaba yake.

Kwa nini mnafosi vitu ambavyo havipo vionekane vipo kwa kuhangaika kuvitetea na kuviongelea?
Unaona watu wanafosi kwa sababu wewe unangaika kupinga vitu ambavyo unadai havipo, kama watu ambao hawaamini kuwepo Mungu wasingekuwa wanajiingiza kwenye kubishana au kupingana na imani ya watu kuamini kuwepo Mungu basi usingeona watu wakifosi kuwepo Mungu.

Watu wenye kuamini Mungu wao wanaongea kujibu kwa kile wanachokiamini maana hata wewe hoja zako unazielekeza kwa hao wanaoamini Mungu ambao ni binaadamu.

Nimekuwa nikikutolea mfano kwamba hata Samia huwa watu wanamuongelea vitu vingi kuhusu yeye ila huwa hajitokezi kuja kujibu hizo hoja, sasa nashangaa wewe unajenga hoja kwamba Mungu anatakiwa ajitokeze mwenyewe kujibu hoja na kutofanya hivyo tafsiri yake hayupo.
 
Burden of proof (law) - Wikipedia Burden of proof (law) - Wikipedia

Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayeanza kudai kitu kipo, ndio anatakiwa atoe uthibitisho wa kitu hicho.

Ninyi mnaodai Mungu yupo, ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu.

Mkishindwa kufanya hivyo, ina maana madai yenu ni ya uongo. Na huyo Mungu mnayedai yupo, hayupo.

Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.

Hujathibitisha Mungu yupo, ila unadai tu yupo, bila kuthibitisha.

Madai yako ni ya uongo, huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
 
Nilimwuliza mchungaji wangu swali hili, akaniambia kuwa mataniri hawaangushwi na mapepo kwa sababu wanavitambi, hivyo hawaanguki kirahisi kutokana na uzito waluonao.

Sijui yule mchungajai alinichukuliaje.
Nikifa MkeWangu Asiolewe .
 
Huyo Mungu kama yupo ajitetee mwenyewe na kujieleza.

Sio wewe umtetee na uongee kwa niaba yake.

Kwa nini mnafosi vitu ambavyo havipo vionekane vipo kwa kuhangaika kuvitetea na kuviongelea?
Unaona watu wanafosi kwa sababu wewe unangaika kupinga vitu ambavyo unadai havipo, kama watu ambao hawaamini kuwepo Mungu wasingekuwa wanajiingiza kwenye kubishana au kupingana na imani ya watu kuamini kuwepo Mungu basi usingeona watu wakifosi kuwepo Mungu.

Watu wenye kuamini Mungu wao wanaongea kujibu kwa kile wanachokiamini maana hata wewe hoja zako unazielekeza kwa hao wanaoamini Mungu ambao ni binaadamu.

Nimekuwa nikikutolea mfano kwamba hata Samia huwa watu wanamuongelea vitu vingi kuhusu yeye ila huwa hajitokezi kuja kujibu hizo hoja, sasa nashangaa wewe unajenga hoja kwamba Mungu anatakiwa ajitokeze mwenyewe kujibu hoja na kutofanya hivyo tafsiri yake hayupo
Kinjekitile Ngwale, aliwa danganya wanajeshi wake, waimbe maji maji! maji! Risasi za wajerumani zitageuka nakuwa maji.

Walicho kutana nacho, imekuwa Historia ya vizazi.

Haya huo uchawi ungekuwepo kweli, na ungekuwa unafanya kazi kweli. Risasi za wajerumani zingebadilika na kuwa maji kweli. Lakini hazikubadilika. Na wanajeshi wa kinjekitile waliuwawa kama ndege.
Bado hoja ni kutokuwepo kwa uthibitisho hilo ndio jambo ambalo hata kwa matukio ya sasa yenye kuhusishwa na uchawi hupingwa kwa sababu hakuna uthibitisho.
Sasa nashangaa unaleta mifano ya enzi za ukoloni huko wakati hadi sasa uchawi bado unaaminiwa na yapo mambo mengi yenye kuhusishwa na uchawi.
 
Nimefanya kazi pale , kuna vituko zaidi ya vya kina Mr bean , mara waimbe mapambio mara waanze kunena kwa lugha kama mnavyodai , mara wacheze ile michezo ya kibaba na kimama ya watoto , mara waigize wapo darsani , mara waigize wamebeba mimba , yani ni full tafrani tu.
Aisee mirembe kumbe kuna burudani nyingi ivo!
 
Burden of proof (law) - Wikipedia Burden of proof (law) - Wikipedia

Falsafa ya uthibitisho inamtaka anayeanza kudai kitu kipo, ndio anatakiwa atoe uthibitisho wa kitu hicho.

Ninyi mnaodai Mungu yupo, ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu.

Mkishindwa kufanya hivyo, ina maana madai yenu ni ya uongo. Na huyo Mungu mnayedai yupo, hayupo.

Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.

Hujathibitisha Mungu yupo, ila unadai tu yupo, bila kuthibitisha.

Madai yako ni ya uongo, huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Mbona haueleweki mara Mungu mwenyewe ndio anatakiwa ajidhirishe mara wenye kutoa madai ndio wanatakiwa kuthibitisha!
 
Unaona watu wanafosi kwa sababu wewe unangaika kupinga vitu ambavyo unadai havipo, kama watu ambao hawaamini kuwepo Mungu wasingekuwa wanajiingiza kwenye kubishana au kupingana na imani ya watu kuamini kuwepo Mungu basi usingeona watu wakifosi kuwepo Mungu.

Watu wenye kuamini Mungu wao wanaongea kujibu kwa kile wanachokiamini maana hata wewe hoja zako unazielekeza kwa hao wanaoamini Mungu ambao ni binaadamu.

Nimekuwa nikikutolea mfano kwamba hata Samia huwa watu wanamuongelea vitu vingi kuhusu yeye ila huwa hajitokezi kuja kujibu hizo hoja, sasa nashangaa wewe unajenga hoja kwamba Mungu anatakiwa ajitokeze mwenyewe kujibu hoja na kutofanya hivyo tafsiri yake hayupo

Bado hoja ni kutokuwepo kwa uthibitisho hilo ndio jambo ambalo hata kwa matukio ya sasa yenye kuhusishwa na uchawi hupingwa kwa sababu hakuna uthibitisho.
Sasa nashangaa unaleta mifano ya enzi za ukoloni huko wakati hadi sasa uchawi bado unaaminiwa na yapo mambo mengi yenye kuhusishwa na uchawi.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Hakuna anaye kukataza kuamini.

Lakini ukidai hicho unacho kiamini ni ukweli lazima utoe uthibitisho.
 
U
Uchawi ungekuwepo kweli, mababu zetu wasingeuwawa kama kuku, enzi za utumwa na ukoloni.

Huo uchawi ungewasaidia kuwashinda wazungu.

Uchawi ungekuwepo kweli, Nchi za Afrika zingekuwa zinautumia huo uchawi kwenye michezo na mashindano makubwa ya kimataifa kama world cup.

Lakini hakuna nchi hata moja ya Afrika iliyowahi kutwaa kombe la dunia.

Hao watu wenye nguvu za kuamuru vitu vitokee, wangekuwa wanaamuru mafanikio kwa bara la Afrika katika mashindano makubwa ya kimataifa.

Lakini kiko wapi?
Sasa uchawi unataka vitu negative mzee, kutoa kafara, nadhani uchawi pia Kuna level haufiki. Ila mi naamini upo.
 
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!

Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.

Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki misa yote 3 hutaona mtu kaangushwa na mapepo.
Kwa sabato pia ni nadra sana kama wapo ni mara chache sana maana nimehudhuria sana kwenye mikutano yao na hivyo tu hadi kwenye makambi yao nimeenda sana lakini sijawahi kuona watu wanaangushwa na mapepo kama huko ulokoleni kulikoni watumishi?

SOMA
Bora hayo yanayo waangusha maana yanakemewa na KUTOKA. Hayo yasiyo waangusha kwa USTAARABU BANDIA ndio yanawafanya wawe na ROHO MBAYA wengine mpaka WANAJIUA. Au wazungu na matajiri HAWAJIUI?
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Hakuna anaye kukataza kuamini.

Lakini ukidai hicho unacho kiamini ni ukweli lazima utoe uthibitisho.
Inajulikana kuwa mtu anaweza kuamini jambo na ikawa hilo jambo ni kweli au uongo ila haki ya mtu kuamini haichambui zipi imani za kweli na zipi ni za uongo.

Hakuna mtu ambaye anaamini kitu ambacho anafahamu kuwa kitu hicho ni uongo.
 
Nakwambia hivi, Hakuna Mungu.

Full stop.

Nimemaliza.
Unachopaswa kuelewa ni kwamba huo ni mtazamo wako hivyo usichukizwe na wenye mtazamo tofauti na huo, binaadamu ndio tupo hivyo tuna mitazamo tofauti kwa mambo mbalimbali.

Na hata hao wanasayansi tu wanatofautiana mitazamo katika mambo mbalimbali yenye kuhusu sayansi, kwahiyo usisumbuke kuona kwanini watu wanaamini Mungu wakati wewe unaona hakuna kitu kama hiko wewe tambua tu watu hutofautiana na tuna experience vitu tofauti.
 
Hukatazwi kuamini Mungu yupo.

Kuamini ni haki yako ya kikatiba.

Kila mtu ana haki ya kuamini chochote apendacho.
 
Ni sahihi kabisa, hivyo mtu akiamini kwamba kuwepo kwa Mungu ni jambo la kweli hiyo ni imani yake wala haiwi kuwa inakulazimisha na wewe kukubali hivyo.
 
Back
Top Bottom