Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Walokole muda mwingine huwa nawaona wanaigiza kabisaHata pale mirembe , vichaa wanaweza kufanya demo moja ukabaki unacheka sana .
Walokole ni mental patients
Makelele ya toka toka , mziki na mapambio ya kihisia , na ukizingatia wanawake kwenye jamii zetu wamebeba mambo yanayo waathiri sana kiakili , jumlisha na matarajio ya kupata matokeo.Mapepo ni Kwa aajil ya sisi bara la Africa especially wanawake 😂
Hapana wala hawaigizi , ulishawahi kwenda mirembe hospital?Walokole muda mwingine huwa nawaona wanaigiza kabisa
Mkuu walokole walikukosea nini?😁Hata pale mirembe , vichaa wanaweza kufanya demo moja ukabaki unacheka sana .
Walokole ni mental patients
Sasa mkuu wanaofanya huu ukichaa wa kuanguka hovyo kwani ni wakatoli ,wasabato au walutheri?Mkuu walokole walikukosea nini?😁
Milembe bado sijwahi fikaHapana wala hawaigizi , ulishawahi kwenda mirembe hospital?
Kwa Mwamposa wote wanaanguka hadi Waislamu.Sasa mkuu wanaofanya huu ukichaa wa kuanguka hovyo kwani ni wakatoli ,wasabato au walutheri?
Nimefanya kazi pale , kuna vituko zaidi ya vya kina Mr bean , mara waimbe mapambio mara waanze kunena kwa lugha kama mnavyodai , mara wacheze ile michezo ya kibaba na kimama ya watoto , mara waigize wapo darsani , mara waigize wamebeba mimba , yani ni full tafrani tu.Milembe bado sijwahi fika
Hao ni waislamu wa kuchemsha ,waislamu wapo saudia bwashee.Kwa Mwamposa wote wanaanguka hadi Waislamu.
Ongezea na wapiga pichaNalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki misa yote 3 hutaona mtu kaangushwa na mapepo.
Kwa sabato pia ni nadra sana kama wapo ni mara chache sana maana nimehudhuria sana kwenye mikutano yao na hivyo tu hadi kwenye makambi yao nimeenda sana lakini sijawahi kuona watu wanaangushwa na mapepo kama huko ulokoleni kulikoni watumishi?
SOMANikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu.
Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato.
Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na suruali za vitambaa.
Nilijifunza Kwa bidii sana hii ilikuwa mwaka2015. Kwa sababu nilibobea kwenye kujifunza majina yetu yakaoredheshwa Kwa ajiri ya ubatizo siku ilipofika sikwenda na simu nikazima kabisa maana halikuwa lengo langu.
Siku zikaenda likawepo kusanyiko fln la mitaa2 kujadiri mambo fln hapo Sasa ndo niliona fursa maana niliona mabinti wenye nywere asili wasio na mkorogo Wala majivuno...
- Nikifa MkeWangu Asiolewe
- kambi ya wasababto wasabato
- Replies: 132
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Ukishinda kutwa nzima na mkatoliki, msatbato, mlitheri au hata muislam.. Alaf jioni mnavoachana ukaongozana njia na mlokole ndo utagundua mlokole anatatuzo kubwa sana kichwani.Sasa mkuu wanaofanya huu ukichaa wa kuanguka hovyo kwani ni wakatoli ,wasabato au walutheri?