Kwanini wazungu wanapenda sana Waisrael na kuchukia sana waarabu?

Kwanini wazungu wanapenda sana Waisrael na kuchukia sana waarabu?

fuatilia acha uzezeta wazungu hawana njaa kama waarab , wazungu wana mapenz ya kwel ila waarab wabaguz sana hawatak bint zao zichanganyike na sisi labda kama mswahili ana ela
Ni kweli ndiyo maana kwa mapenzi yao waliwapeleka babu zako utumwani
 
Saikolojia ya Magharibi imeathirika na kuamini bila chembe ya shaka kwamba waarabu ni watu hatari na ni adui namba moja wa uhai na istawi wao kiuchumi na kijamii maeneo mbalimbali duniani.

Ni muendelezo wa uadui wa kihistoria.
Kipindi cha ukoloni na kabla ya technologia mwarabu alikua akimtandika sana mzungu na kunyakua maeneo yake mathalani Mombasa.

hivi sasa vise versa is true kwa mchango wa technologia.
kwamba kichwan hazijatimia , ulaya waarab wanaish na kupewa hadi uraia ila uarabu mzungu haruhusiw hata kumilik pikipiki , huon kuwa waarab wabaguz?
 
Kuna unafiki dunia hii. Kiongozi wa conference ya tech inayoitwa web summit ambapo ingefanyika november na kuhudhuriwa na kampuni kubwa kama alphabet inc, meta, intel corp, siemens na nyinginezo alitoa kauli kwenye tweeter a.k.a X kwa kusema, war crimes are war crimes haijalishi zimekuwa committed na allies. Akiisema Israel kwa kurudisha mashambulizi kwa kupoga mabomu kwenye makazi ya watu. Lile ni jeshi si kikundi cha kigaidi au wanamgambo hivyo kuna vitu hawawezi fanya na ndio maana makundi kama wegner au black water hutumika kufanya dirty jobs za serikali kwakuwa si part ya jeshi.
Sasa kwa kauli yake hiyo, meta, alphabet inc, siemens, intel wamejitoa kwenye conference na wanamtaka aombe msamaha.
Laiti kama ingekuwa nchi nyingine imeshambuliwa na wanamgambo ikajibu kwa kushambulia makazi ya watu pia basi story ingekuwa tofauti.
unaandika yote ila kuonesha na ww ni gaidi huon makosa ya hamas
 
hamas ni jeshi rasmi kama idf so likipiga linajibiwa hivyo hivyo hakuna kutia huruma , mtatia huruma wenumyew mliolianzisha
 
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha.

Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu.

Sijui kwanini wazungu wanawachukia hawa jamaa wasio na nchi kiasi hiki na kuwapenda na kuwakumbatia makaburu wa kiyahudi.

Je alichofanya marehemu sorry rais Joel bin Laden kweli kinafaa kwa mtu wa umri ule? Je nini kitafuatia baada ya watu kuchoka na kujua kuwa kumbe haki za binadamu wanazoimba hawa wanafiki ni uongo na mkenge mtupu?

Je wao watakuwa salama katika uonevu huu? Nalalamika tu

Wewe ni mfuasi waa mudy
 
Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"​

Unajua weusi walioko huko wanapitia yapi au unajiandikia au ni mmojawapo wa wabaguzi mavi hawa?
Hebu angalia hii kitu
Ukitaka nikupe nchi moja baada ya nyingine wewe sema tu mwanangu
Racism ipo mpaka USA ambapo kuna wakristo watupu sio uarabuni pekee. Nilichotaka kusema ni kwamba kizazi cha watu weusi kipo mpaka huko uarabuni na sio kweli kuwa walihasiwa sijui waliuawa n.k
 
kiisalaamu toka kuanzishwa kwake ilikuwa inatumia upanga sio.hiari ya mtu
Hata ukristo pia, rejea Joshua alipoambiwa achinje kila mtu hapo canaan. Pia Elia alipochinja manabii almost elfu 4!!
 
Siyo kweli. Shida ya mwaarabu
1. Anajiona mwenye haki na thamani kuliko watu wengine kwa dini yake. Hapo yeye ndiyo binadamu wengine wanyama
2. Ugaidi, mwaarabu akihisi harufu ya mabikra 72 huko akhera. Anavaa mabomu anaenda kujilipua au kuchinja watu ovyo
3. Kuanzisha vikundi vya kigaidi vinavyoua watu, kubaka na kuiba kwa kueneza dini ya uislamu, Boko Haram, Al shabab, Al qaeda, Islamic state
4. Mwaarabu hana akili. Muda wowote anaweza kufanya mambo ya ajabu yakakushangaza. Mfano hai Libya, wamevuruga mji wao wakisingizia Marekani wakati Marekani bunduki zinauzwa madukani km pipi. Ukifikisha miaka 18 unaenda kununua ila hautakaa sikia wanagombea madaraka
5. Siyo mstaarabu. Anaweza kukuchinja kwasababu ya kutetea dini yake. Mfano hai, ni Iran, binti wa watu amechinjwa kwasabb hajafunika kichwa
6. Wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari, kusoma, kusuka, kuangalia mpira, kujifunza masomo ya ufundi au kufanya kazi yoyote mfano hai Afghanistan, na Saudia Arabia
Pole sana
 
Wote ni wale wale. Ukiona mzungu kaoelwa na mswahili ujue ima ana fedha nyingi, nafasi nzuri, hana wa kumuoa, ana matatizo ya kitabia hata kiafya n.k. Kwa tuliowahi kuishi nchi zao, tofauti ya wazungu na waarabu na wazungu ni kwamba angalau wanatoa uhuru kwa mabinti zao kuchagua kuliko waarabu wahindi na washenzi wengine. Mfano, ukienda Marekani na Kanada, mimama ya kizungu minene ambayo wazungu hawapendi kuoa, iko tayari kuolewa na yoyote
Acha uongo bhana wazungu wanaoa na kuolewa na race yyte ile wao wanaamini katika real love..
Sisi tunaamini katika opportunity.
 
Principles za UISLAMU zipo against calture za wazungu pakubwa sana...

Ukiangalia life style za Jews zinafanana pa kubwa na american or western culture...

Ni kama enzi za ukomunisti, ...Western walipinga kila kitu cha Eastern block...

Lakini hili la Islamic culture ni zaidi, na wanaona ni tishio kwao kutokana na misingi yake tofauti na communist ...

Yako mambo uislamu upo completely and openly against western culture...(.Imejipambanua kwa UWAZI mno.)

Na ninaposema Western culture ni tofauti na Christian culture, ....ila isipokuwa miaka ya karibuni Western culture inaimeza Christian culture kiasi kamba kizazi cha sasa kinaamini Christian culture ndio WESTERN culture...

Kwa hiyo Islamic culture imeingia ktk mgongano wa tamaduni (CLASH) na kundi kubwa ktk hii dunia ( CLASH of Civilization) na hii itachukuwa muda mrefu...
 
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha.

Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu.

Sijui kwanini wazungu wanawachukia hawa jamaa wasio na nchi kiasi hiki na kuwapenda na kuwakumbatia makaburu wa kiyahudi.

Je alichofanya marehemu sorry rais Joel bin Laden kweli kinafaa kwa mtu wa umri ule? Je nini kitafuatia baada ya watu kuchoka na kujua kuwa kumbe haki za binadamu wanazoimba hawa wanafiki ni uongo na mkenge mtupu?

Je wao watakuwa salama katika uonevu huu? Nalalamika tu
Wewe mwenyewe kwa namna unavyowataja wayahudi tayari unaonyesha chuki dhidi yao.
Unalotakiwa kujua ni hili" hakuna katika ulimwengu huu tunaoishi achukiwae asiwepo wa kumpenda, hakuna. Waarabu kwa ujumla wao,kiimani nikimaanisha isalam wote wanamchukia banaisrael, si kwa mdomo kwa mandiko na ni Amri kutoka kwa marehemu mtume wao.
Hakuna muislamu atakwenda kinyume na amri hiyo.
Sasa hilo ni zao la chuki dhidi ya wayahudi, wa pili wao ni wakristo .
Jamii mbili zinazochukiwa.na.jamii moja lazima hizo zitapendana hata kama hizo zilikuwa adui.
 
Pole sana
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Back
Top Bottom