Kwanini wazungu wanapenda sana Waisrael na kuchukia sana waarabu?

Kinachotokea sasa hivi ni kutesa kwa zamu, miaka 3000 Iliyopita Warabu waliua Wayahudi hadi wakawakimbiza kwenye ardhi yao
 
Si Yesu ni Mungu? Sasa kama aliagiza manabii feki wachinjwe how's that different kwa ulivyodai wanafanya waislam?
Yesu wapi aliagiza watu wachinjwe?
Unaposema Yesu ni Mungu hiyo kauli unaichukuliaje?
Yesu alifundisha upendo, na zaidi tuwapende hadi adui zetu.
Ukipigwa kofi shavu la kulia mgeuzie na kushoto.
 
Unaposema Yesu
Yesu ni Mungu means ni "yule yule" wa agano la kale hakuna mwingine.
Yesu wapi aliagiza watu wachinjwe?
16 Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, usihifadhi kuwa hai kitu cho chote kipumzikacho;
Kumbukumbu la Torati 20:16

17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru Bwana, Mungu wako;
Kumbukumbu la Torati 20:17

Yesu alifundisha
Kwahiyo Yesu si Mungu? Duh
 
Duuh....
Ila yesu anapatikana katika vitabu vya injili
huko ulikoenda unapatikana uyahudi mkuu. Ukristo ulikuwa bado
 
Duuh....
Ila yesu anapatikana katika vitabu vya injili
huko ulikoenda unapatikana uyahudi mkuu. Ukristo ulikuwa bado
Sio kweli, Yesu mwenyewe anasema alikuwepo kipindi cha Abraham. Kasome mwanzo 14
 
Koran
5;51. Enyi waislamu! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
 
Si unaona hivi sasa? Wakiristo na mayahudi wanashabikia au kushiriki kuua waislam
Chuki walianzisha kina Allah

Wasome kina Allah
Koran 5:14 We planted enmity and hatred between them, and they will remain like this until the Day of Resurrection
 
Ni rahisi kujenga misikiti uingereza Kwa wazungu kuliko kujenga kanisa Oman,in General waarabu ni wabaguzi kwa asili..waulize babu zetu waliowachukua ujiji na bagamoyo kuwapeleka kwao wapo??Ni rahisi kuoa Mzungu Kwa mtu mweusi kuliko kuoa Mwarabu..
Siyo Oman tu. Wakati wao wapo huru kujenga misikiti kila mahali Tanzania bara, ni shida kujenga Kanisa Zanzibar. Wana ubaguzi wa kutisha..

View: https://youtube.com/shorts/Gh34U30vi5Q?si=Oh6718ldl_5eNs7Q
 
Kuna Slogan inasema Saturday to Jews and then Sunday for Christian... Yaani wakishawaua Wayahudi Jumamosi basi Jumapili kuwaua Wakristo... sasa hawa ni watu wa Kupendwa? la wapendwe na Yesu tu
 
kwa nini Saud Arabia na Libya na waarabu wote wanachukia kujenga makanisa na wanapenda kujenga misikiti? ukipata jibu lake ndipo utapata jibu lako ulouliza
 
Kuna Slogan inasema Saturday to Jews and then Sunday for Christian... Yaani wakishawaua Wayahudi Jumamosi basi Jumapili kuwaua Wakristo... sasa hawa ni watu wa Kupendwa? la wapendwe na Yesu tu
hawa jamaa hawatakuwa na amani moyoni mpaka watakaposikia hakuna mkristo wala myahudi duniani. hapo utaona ligi kuu ya soka ulaya haina ladha wala mziki haulipi. kila kukicha kula wali mkekani!
 

Haichukui muda mrefu wamebaki wajinga wachache tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…