Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kuacha Kazi TISS inawezekana.Endapo kama wangewafahamu vizuri hao tiss pamoja na "mambo yao yanayowahusu," watu wanaojifanya kuwa ni wafanyakazi wa huko wala wasingethubutu hata kujiita kusa wao ni tiss.Hawajui tu watu hao. Wenyewe halisi waliopo huko wengi wao hawana furaha wala amani mioyoni mwao, wanatamani sana kutoka huko lakini wanashindwa kwa sababu tayari "wameshafunga 'ndoa ya kikristo' na shetani, ni kifo pekee ndicho kitakachowatenganisha." Ukweli ni kwamba wengi wao wanatamani sana kuvunja ndoa hiyo mbaya na shetani ili wawe huru, lakini imeshindikana.
Unaachaje kwa mfano?? Utatoa sababu gani ya msingi ya kuacha kazi yao?? Labda utoroke na kuhama nchi, la sivyo lazima wenzako uliowaacha huko watakuundia kamati ya kumalizana na wewe fasta sana ili usije kwenda kuwa kirusi huko uraiani.Kuacha Kazi TISS inawezekana.
Ni kama kuacha Kazi kwa nyengine yoyote.
#YNWA
Acha kudanganya Watu Sabaya siyo TISS and he can never become one of them. Nasisitiza tena Sabaya siyo Usalama wa Taifa na kamtafute Aliyekudanganya hivyo na Mpige Vibao sawa? Angekuwa ni TISS angelelewa kwa kupewa Msaada na Mfanyabiashara Davis Mosha na kukaa Bure katika Appartments zake za Sinza? Usitake niseme mengi juu yake na naomba tu niishie hapa tafadhali.Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa panzi tu.
Punguza kuwa - amplifyUnaachaje kwa mfano?? Utatoa sababu gani ya msingi ya kuacha kazi yao?? Labda utoroke na kuhama nchi, la sivyo lazima wenzako uliowaacha huko watakuundia kamati ya kumalizana na wewe fasta sana ili usije kwenda kuwa kirusi huko uraiani.
Kumbuka: Kitu pekee kabisa ambacho wachawi wanakiogopa sana ktk maisha yao hapa duniani ni kuona kwamba Siri zao kuhusiana na mambo yao ya kichawi zinawekwa nje hadharani.
Intelligence work/job in most cases is the Secondary Job, not a primary job, that's why most of the spies all over the world are working under cover in order to conceal their identities.Acha kudanganya Watu Sabaya siyo TISS and he can never become one of them. Nasisitiza tena Sabaya siyo Usalama wa Taifa na kamtafute Aliyekudanganya hivyo na Mpige Vibao sawa? Angekuwa ni TISS angelelewa kwa kupewa Msaada na Mfanyabiashara Davis Mosha na kukaa Bure katika Appartments zake za Sinza? Usitake niseme mengi juu yake na naomba tu niishie hapa tafadhali.
Acha kudanganya Watu Sabaya siyo TISS and he can never become one of them. Nasisitiza tena Sabaya siyo Usalama wa Taifa na kamtafute Aliyekudanganya hivyo na Mpige Vibao sawa? Angekuwa ni TISS angelelewa kwa kupewa Msaada na Mfanyabiashara Davis Mosha na kukaa Bure katika Appartments zake za Sinza? Usitake niseme mengi juu yake na naomba tu niishie hapa tafadhali.
Kiswahili tafadhaliIntelligence work/job in most cases is the Secondary Job, not a primary job, that's why most of the spies all over the world are working under cover in order to conceal their identities.
Mimi sijui Kiingereza nitafsirie tafadhali..Intelligence work/job in most cases is the Secondary Job, not a primary job, that's why most of the spies all over the world are working under cover in order to conceal their identities.
Hao awajaacha kazi broPunguza kuwa - amplify
1. Namjua mwanajeshi mmoja kaacha Kazi sasa hivi ana kiwanda cha madaftari Iringa
2. Namjua Polisi kaacha Kazi sasa hivi ana duka la Nguo Tunduma
3. Namjua TISS kaacha Kazi sasa hivi ni bonge la mkulima wa mahindi Sumbawanga.
Hivyo INAWEZEKANA.
#YNWA
AMEACHA KAZI.Hao awajaacha kazi bro
Huyo Mkulima ukifwatilia ruzuku anapotoa utakimbia
Kuacha kazi mazima hapo ngumu hao ubadilishiwa majukumu siku anafariki utashangaa mengi
Kwa nchi zingine zenye tawala za kidemokrasia hilo linawezekana lakini siyo kwenye hizi nchi zetu zenye vinasaba na Ujamaa/Ukomunisti, Watakuua wenzako. Uache kazi yao ghafla tu, si ndio watakuona wewe unawasaliti. Lazima wataku-assassinate tu. Labda ukimbie nchi uende ukajifiche mbali huko kama vile nchi ya Guatemala au Peru ili wasikuone.Punguza kuwa - amplify
1. Namjua mwanajeshi mmoja kaacha Kazi sasa hivi ana kiwanda cha madaftari Iringa
2. Namjua Polisi kaacha Kazi sasa hivi ana duka la Nguo Tunduma
3. Namjua TISS kaacha Kazi sasa hivi ni bonge la mkulima wa mahindi Sumbawanga.
Hivyo INAWEZEKANA.
#YNWA
Sawa ila kitengo ukijui,AMEACHA KAZI.
Hutaki HAYAAA.
#YNWA
Ila si nimekupa mfano wa aliyeacha Kazi?Kwa nchi zingine zenye tawala za kidemokrasia hilo linawezekana lakini siyo kwenye hizi nchi zetu zenye vinasaba na Ujamaa/Ukomunisti, Watakuua wenzako. Uache kazi yao ghafla tu, si ndio watakuona wewe unawasaliti. Lazima wataku-assassinate tu.
Sawa.Sawa ila kitengo ukijui,
Huyo Mkulima ni mwanaidara mpaka siku anaingia kaburini
Nakuambia tena siku akifariki utashangaa mengi
Kwa Africa sio rahisi kuacha kazi kirahisi kitengo
Huyo atakuwa ni "Mkulima Mamluki."Sawa ila kitengo ukijui,
Huyo Mkulima ni mwanaidara mpaka siku anaingia kaburini
Nakuambia tena siku akifariki utashangaa mengi
Kwa Africa sio rahisi kuacha kazi kirahisi kitengo
Tiss is very wide wewe, watu hadi wanalelewa na mishangazi lakini ni Tiss. Uskariri, hiyo kada ina watu wengi mbalimbali na wenye maisha mbalimbali. Tiss sio ualimu kwamba kila mtu anajua wewe ni nani. Umdhaniae sie kumbe ndiye and viceversa.Acha kudanganya Watu Sabaya siyo TISS and he can never become one of them. Nasisitiza tena Sabaya siyo Usalama wa Taifa na kamtafute Aliyekudanganya hivyo na Mpige Vibao sawa? Angekuwa ni TISS angelelewa kwa kupewa Msaada na Mfanyabiashara Davis Mosha na kukaa Bure katika Appartments zake za Sinza? Usitake niseme mengi juu yake na naomba tu niishie hapa tafadhali.
Sikubaliani na mfamo wako kamwe.Ila si nimekupa mfano wa aliyeacha Kazi?
#YNWA
Boss napiga pumbu huelewi nini?Huyo atakuwa ni "Mkulima Mamluki."
Dogo ajui Hilo Dubwana lilivyo panaHuyo atakuwa ni "Mkulima Mamluki."
Boss TISS wanajulikana kabisaaa.Tiss is very wide wewe, watu hadi wanalelewa na mishangazi lakini ni Tiss. Uskariri, hiyo kada ina watu wengi mbalimbali na wenye maisha mbalimbali. Tiss sio ualimu kwamba kila mtu anajua wewe ni nani. Umdhaniae sie kumbe ndiye and viceversa.