Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

kinacho wafanya watu wa TISS wajimwambafai ni ule ukaribu wa sekta yao na RAIS ambae ndie sponsor...hicho tu ndio hufanya watu wawape special care watu wa TISS....

ila amini nakwambia TISS wana njaa kama waajiliwa wengine...

inawezekana JWTZ wakaWa na maisha mazuri kuliko TISS...​
Sio kweli.
 
Labda niweke sawa kidogo kwenye hizo namba za mishahara. Unadhani namba za mishahara ya nchi hii zinasumbua? Wala. Zinazosumbua ni posho zao, ni kubwa mno.

Haya mambo ni upepo tu nadhani, maana zamani mtaani kila mtu anatamba kuwa yeye ni baharia, na ndiyo karejea nchini toka Italy, hata kama sio baharia.

Na hapa katikati kulikuwa na upepo wa maeneo ya kuishi, kila mtu alikuwa akitamba kuishi Upanga, hasa vijana. Hadi wanashinda maeneo ya Upanga ila kulala wanaenda Kwa Mtogole.

Ova
B… hizi akili gani umeamka nazo? Lols
Nimecheka mnoooo.
 
Sawa.
Na lako liwe sahihi.

Ila huyo TISS siku anaenda bagamoyo (chuo chao) alilalia gheto kwangu, nikamsindikiza mpaka kwenye Costa yao (siku ya kwanza wanakusanywa kwenda chuo).

Na aliacha Kazi 2020, mpaka leo huwa tunakulana tuuu.

Then najua mengiii kwasababu nilikuwa naendaga kwake then nasoma mengii na kunihadithia mengii.

Kifupi: KAACHA KAZI.

Na pia hata huku tulipo, piss za TISS tunajigongea tu.
Kuna mwengine alinionyesha mpaka mshahara wake. Wanakatwa Bima tu ya afya.
Hawana chama cha wafanyakazi wala PSSF.
Na hupewa 150,000 ya dharura + house allowance. Ukijumlisha ndio inafika Mil 1.85

Ni watu wa kawaida sanaa ila tatizo MNAWAKUZAAAAA.

Usiku mwema.

#YNWA
Mmhh,mdomo wako upo fire
 
Boss napiga pumbu huelewi nini?

Na tunawapiga pumbu tu.
Kuna mmoja nilimpatia kwenye kikao cha ofisi ya DS.

Akawa ananipa mpaka documents zao nasoma, kwamba wakiwa chuoni kwao bagamoyo huchagua staili ya kupigana na kujiendeleza kama karate au boxing.
Lakini pia huyo demu wangu wa kwanza niliyemsindikiza kwenye chuo baada ya miezi mi3 ya course/kambi Kuna siku waliachiwa kama assignment waende sokoni wakusanye taarifa fulani.
Alipita gheto tukakumbushia then akaendelea na assignment yake.

Ni wa kawaida sanaaaa Hawa watu, ila MNAWAKUZA SANAAAA.

#YNWA
We sio mzima mkuu,unaropokwa sana
 
Kuna comment ya mdau nimeisoma huko juu, kuhusu teeth kulinda maslahi ya ccm. Tukumbushane tu ccm ni ujamaa na ujamaa tunazungumzia urusi, china na cuba . Kwahiyo kusukwa kwa hii idara yetu , kumetegemewa syllabus na training manuals za urusi particularly by then kgb. Ndio maana ya chama dola sasa. Mostly wa maafisa kipindi hicho cha nyerere wamepatia mafunzo yao , urusi , cuba na china. Kwahiyo ukiona tiss iko merged na ccm msione ajabu .
 
Kweli wabongo ni matahira.
Ukifika kambi ya jeshi yoyote kuna ofisi ya wajeda wa tiss basi Jamaa wanaogopwa sana na wenzao.
Halafu kuna kadumba ile nyingine kila kwenye wajeshi iwe MAGEREZA, PILISI, UHAMIAIJI, FIRE n.k kuhisisiana kuwa fulani yuko kitengo.
Huo ni uongo.

Polisi, Magereza na JWTZ Wana vitengo vyao vya intelligence na ni askari wenzao ambao hawahusiani ja TISS.

Ni sawa tu, na MP (Military Police) wa JWTZ huwezi kusema MP ni police.

Kwanza TISS mafunzo yao ni mepesi na ya kawaida tu, ndio maana wanaitwa Jeshi Usu Kama ilivyo mgambo, polisi, Magereza, Uhamiaji. Wanaojifunza silaha nzito ni JWTZ pekee
 
U dc aliteuliwa sababu magu alikuwa anataka majambazi kama yy magu ulikuwa ukiwa katili lazima akupe cheo au ukimsifia
Ukatili gani alifanya Sabaya kabla ya kuwa DC mpaka Magu akaona atafaa?
 

Attachments

  • IMG_20231210_124913.jpg
    IMG_20231210_124913.jpg
    298.1 KB · Views: 15
Intelligence...aliyebobea utamtambuwa kwa Ufunguo unaoitwa INTEGRITY
Hata akiwa baa kuanzia unywaji wake ukaaji interaction yake na walevi wahudumu omba omba wanaopita kwenye baa ...kimatendo utaona kabisa kuna Nidhamu katika matendo yake...Hajikwezi...Hujiamini ..hutoa heshima bila kujali Mwonekano wako...Kifupi huyu mtu hujifyuzi kwa kila mtu iliye kwenye Duara lake.....anaweza kwenda kwa Dj akamwambia piga ngoma flan...then hiyo ngoma ikivurumishwa unaona baa yote IMEFAYAA....Kifupi hutumia saikoloji UMEME kujuwa uwepo wa kila mmoja hapo....

Hawa watu wanauwezo kutimba hata huko Goma na kuchukuwa Taarifa anayoitaka bila Valuvalu zozote.....

Cc Yericko Nyerere
Huwa nashangaa mtu anasema mimi ni TISS.
Kuna jamaa angu mmoja anapenda sana ajulikane hivyo.
Ana ki router chake ameki name TISS 😀😀 basi akiwa mahali wewe ukitaka kupata WIFI si utaona kuna hotspot on ila jina TISS, 😀
Mwana hata kwenye ndege lazima afanye showoff. Anapenda kweli na sijui kama ni tiss au geresha lake tu
 
acha...hizo mimi ni Dereva wa boda boda mkuu...sina uhusiano na hiyo kazi japo nilitamani sana tena sana kuitumikia nchi yetu kupitia majeshi yetu...ila sijawahi kupata bahati hiyo kwa umri wangu hivi sasa najipambania tu mwenyewe kwa kuendesha boda. Mungu akipenda nitafungua biashara zangu maisha yataendelea....

sijawahi kusajiliwa na jeshi lolote​
Njoo tulane KINYEO my wangu achana na mambo ya TEETH
 
hapana na ndio kwa wakati mmoja...majeshi yetu ukiacha yale ya enzi ya Nyerere 😭... haya ya sasa yana lindana sana.

hivyo polisi kimajukumu anaweza kumchunguza TISS na ata kumkamata ikibidi ila inategemea na uzito wa kosa...matharani makosa yanayo husu uhai wa watu...hapo lazima polisi wafanye kazi yao.

ila kwa kifupi ukishitakiana na aina yoyote ya hawa walinda amani wetu kesi ukaipeleka polisi ni nadra sana wewe raia kupata haki yako...hawa watu wanalindana sana.​
BABA KINYEO njoo geto kinyeo kinakusubir
 
Dogo ajui Hilo Dubwana lilivyo pana

Unaweza fungwa, ukateswa ila kwa malengo fulan na Bado ukaendelea kuwa mtiifu idarani

Dubwana Hilo upana wake hata Viongozi wa juu wengi awajui shape yake, rangi yake

Hata namba zile 3 za Juu wanajua 5% ya Ukweli wa Idarani labda ukute ni senior

Membe na ubobezi wake alichezewa na Intake ya 2014-16 na akasanda

GM
Hizi sasa ndo zile stori za mitaani zisizo na uhalisia wowote ule🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom