GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Watoto wa chuo wanagawa sana ukimwi kwa wenzao na kitaaa pia famchezo nini!Asome bila kutegema kujiuza, magonjwa ya ngono siku hizi ni mengi mno.
Members mmekuwa mpo kama hampo vile daaah3.5 ni upper second bro..
Hahahahaha daaah ngoja aje mwenyeweNdo maana Nampa ushauri nasahu huyu binti kimbumbau GENTAMYCINE asije akarudi mtaani na ukimwi.
Akumbuke mama Terry aliyependelea kukemea ukimwi siku hizi hayupo.
ngara23
Kipenzi Changu.
Hujui tunaomboleza bado? We are in chock!!Members mmekuwa mpo kama hampo vile daaah
Uko good?
Safi tu za huko daslamuHujui tunaomboleza bado? We are in chock!!
Btw!
Niko good mambo?
NzuriiSafi tu za huko daslamu
Daaah uliondokewa na ndugu yetu nini?
Anaogopa hata kunijibu, anajua vile ambavyo Mimi huwavamia kwa nyuma wote wanaoenda kinyume nami.Akija huyo mpuuuzi huwa haangaliii ni nani anamtusi ๐๐
Duuuuh hii sasa ni sooooAnaogopa hata kunijibu, anajua vile ambavyo Mimi huwavamia kwa nyuma wote wanaoenda kinyume nami.
Duuuuh pole sana utapata mwingine mwaminifu kama secretarybirdNzurii
Ndio shemeji yako alipigwa bomu!
Hatari sana mkuu ๐.Duuuuh hii sasa ni soooo
Usiseme kama secretarybird, sema utampata secretarybird ambaye watu humtania kwa kumwita dume la mbegu ๐.Duuuuh pole sana utapata mwingine mwaminifu kama secretarybird
Bila shaka wewe ni muhaya๐๐Usiseme kama secretarybird, sema utampata secretarybird ambaye watu humtania kwa kumwita dume la mbegu ๐.
Huyu ni kijana?Duuuuh pole sana utapata mwingine mwaminifu kama secretarybird
Eeeeh unadhani ni mzeee huyooo? He is a man na yuko vizuri na ngangali ile mbayaaaaaaaaHuyu ni kijana?