secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hapana mkuu, 😂😂Bila shaka wewe ni muhaya😂😂
Hapana mkuu, 😂😂Bila shaka wewe ni muhaya😂😂
Sawa nitamchek tuone tunafanyaje 😀Eeeeh unadhani ni mzeee huyooo? He is a man na yuko vizuri na ngangali ile mbayaaaaaaaa
Usichezee fursa hiyo sasa toto zuri hiloo seran 🫵Hapana mkuu, 😂😂
Sitaichezea hii fursa, mwambie mtoto Seran kuwa nitampenda na kumpendelea 😘.Usichezee fursa hiyo sasa toto zuri hiloo seran 🫵
Muwahi sasaSitaichezea hii fursa, mwambie mtoto Seran kuwa nitampenda na kumpendelea 😘.
Asali yangu Seran nakusubiri kwa hamu.Muwahi sasa
Umeupata!Naomba upendeleo kabla ya yote😁
Mbona geti la mwanjonde halina shida jamani au hicho kibanda cha security?Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu.
Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.
Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Pia soma ~ Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza...
- povour3
- msingi saut shule shule ya msingi
- Replies: 146
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nilimkuta anaogelea huku ameweka sidiria na underskirt yeke tu hapo nje tu ya swimming pool.
Kwanini popoma ana GPA ya ngapi kwenye degree yake ya upumbavuNdo maana Nampa ushauri nasahu huyu binti kimbumbau GENTAMYCINE asije akarudi mtaani na ukimwi.
Akumbuke mama Terry aliyependelea kukemea ukimwi siku hizi hayupo.
ngara23
Kipenzi Changu.
Popoma ndio nani? Po malonda au😅
nilipata 3.8 ila ni kubwa mno kutokana na chuo+ college nilipo soma ila ingekuwa vyuo vya kata iyo ni ndogo sanaHaya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
Ana GPA ya 4.9 ya wehu.Kwanini popoma ana GPA ya ngapi kwenye degree yake ya upumbavu
Naona kabisa Sasa amepata masters yake kutoka Mirembe UniversityAna GPA ya 4.9 ya wehu.
Na anatamba nayo na kuwaringishia wehu wenzake akina Lucas Mwashambwa.Naona kabisa Sasa amepata masters yake kutoka Mirembe University
Tukikomboa nchi akina popoma kila siku ni kuwachapa bakora 10 kila siku japo upumbavu uwatokeNa anatamba nayo na kuwaringishia wehu wenzake akina Lucas Mwashambwa.