GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #61
GPA hiyo ya 2 unanikuza sana Mimi nina GPA ya 1.0 tu ila nashangaa kwanini nina uwezo mkubwa wa Kufikiri na Kuchambua mambo Mtambuka, nakubalika na ni muongoni pia mwa Member mwenye Followers wengi (200+) hapa JamiiForums kuliko Wewe Mwerevu Mpumuliwaji.Hili ni jitu la hovyo sana kuwahi kutokea nchini mwetu, lilipata GPA ya 2 halafu linajifariji eti kuwa wao waliopata GPA hafifu hawabezwi