Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

 
Mbona geti la mwanjonde halina shida jamani au hicho kibanda cha security?
 
Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
nilipata 3.8 ila ni kubwa mno kutokana na chuo+ college nilipo soma ila ingekuwa vyuo vya kata iyo ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…