Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Wanaturudisha nyuma sana hawa vichaa wa mirembe.Tukikomboa nchi akina popoma kila siku ni kuwachapa bakora 10 kila siku japo upumbavu uwatoke
Kuna vyuo vya kata na hamtwambii😒nilipata 3.8 ila ni kubwa mno kutokana na chuo+ college nilipo soma ila ingekuwa vyuo vya kata iyo ni ndogo sana
Nakubaliana na wewe,wakati vijana wa china na ulaya wako bize kufanya ubunifu wa teknolojia mpya wasomi wa bongo wako bize kubishania GPA na majina ya chuo elimu yao ndio inaishia hapoElimu ya tanzania ni uchafu tu takataka gabbage
Na zinatua Kwao kweli kweli Mkuu.Mr charismatic kafika, ngoja nione missiles zinavyo paa.
Ukinibipu Mimi nakupigia tu hapo hapo Mkuu.Naona wapinzani wame rejea, hii battle ina elekea round 2.
WapiNaona Sindano zangu zimeshaanza Kukuingia na Kuwaingieni vyema. Mmenichokoza sasa jiandaeni kwa Makombora.
Ahsante sana Mkuu kwa huu Udadavuaji wako mzuri na wa kimantiki kabisa ambao nilikuwa nautaka na nimekuelewa.Kitaalam na kisaikolojia mshindani anaaandamwa sana kuliko mnyonge asie na uwezo!ndio maana hapa nchini chadema haijawahi kushika Dola lakini ni tishio Kwa watawala hivyo huandamwa Kila siku Kwa kejeli,dharau,kesi za uongo na n.k!
Lower second ni washindani wa upper second kwahiyo huonekana washindani walioshindwa na kisaikolojia wanashambuliwa !lakini wale was pass 1.8-2.4 au gentleman sio washindani ni waliofeli wanafanya mradi wamalize chuo,hivyo hawapo kwenye ushindani na hakuna anaewaza uwepo wao coz hawagusi hisia za washindani kwenye mtanange wa mapambano kimedani!!
NIMEJARIBU KUKUJIBU,BAADA YA KUONA MEMBERS WENGI WANASHAMBULIA PERSONALITY BADALA YA MADA HUSIKA!
Ni jinsi gani PAKA ana uwezo wa kutumia maandamano na vurugu hizi kushinda vita vya kiuchumina kuitawala Tanganyika akiwa kigali akinywa wine!!?Ahsante sana Mkuu kwa huu Udadavuaji wako mzuri na wa kimantiki kabisa ambao nilikuwa nautaka na nimekuelewa.
Huyu man ana akili sana,,lakini amekua affected na high intensity provocation na treatment ya wengi wenu humu,ni vile anaonekana anafanya assignments fulani kutoka mbali na kwa malengo ya huko walikomtuma!Mkuu unamjibu mtu aliyetolewa ubongo akawekewa kimba kumkichwa huku ukitarajia ataelewa ulichomwambia?
Mbuzi utampigia gitaa daima na hatakatika.
Tuko nyuma ya muda sanaNakubaliana na wewe,wakati vijana wa china na ulaya wako bize kufanya ubunifu wa teknolojia mpya wasomi wa bongo wako bize kubishania GPA na majina ya chuo elimu yao ndio inaishia hapo