Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

Hili ni jitu la hovyo sana kuwahi kutokea nchini mwetu, lilipata GPA ya 2 halafu linajifariji eti kuwa wao waliopata GPA hafifu hawabezwi
GPA hiyo ya 2 unanikuza sana Mimi nina GPA ya 1.0 tu ila nashangaa kwanini nina uwezo mkubwa wa Kufikiri na Kuchambua mambo Mtambuka, nakubalika na ni muongoni pia mwa Member mwenye Followers wengi (200+) hapa JamiiForums kuliko Wewe Mwerevu Mpumuliwaji.
 
Hizo class na mataka taka mengine hayana maana yeyote. Kubwa uwe na chanel tu. Kuna watu Wana gpa kubwa kuanzia 4+ lakin wapo kitaa na wengine 2+ wa
 
Hizo class na mataka taka mengine hayana maana yeyote. Kubwa uwe na chanel tu. Kuna watu Wana gpa kubwa kuanzia 4+ lakin wapo kitaa na wengine 2+ wa
Channel na kufanya vizur shule vinahusianaje?

Bas watoto wa wanasiasa Africa wangeishia primary wakijua kusoma na kuandika basi inatosha

Toka kweny upumbavu
 
Kuna kiongozi ambaye ndo GOAT wa siasa za bongo alipata 2 na hapo UDSM.
 
Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
Second lower class ni kuanzia 2.7-3.4 na second upper inaanza 3.5. Umesoma shule gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…