Nawasalimu kwa jina la JMT!
Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!!
Melody nzuri,
Mashairi mazuri,
Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia,
Shooting ni njema kabisa.
Vyote vinastahili kusikilizwa harusini, clubs na hata mitaani. Ajabu ni kuwa napita humo mwote na ni nadra kuusikia.
Nazisikia nyimbo zingine zinazopigwa mara kwa mara,..... nabaki nashangaa tu!
Mwishowe nimeona nihitimishe tu kuwa kumbe hapa Bongo kwenye muziki inabidi uroge pia, yaani ni WACHAWI KUMBE!