You must be very stupid, inaelekea umedandia tu bila kuelewa tunachokijadili ni nini.
Kuingia kwenye discussion na judgemental mentality huku ukiitumia post ya mwisho kama ndiyo reference umefeli sana, literally topic inahusu kuzichanganya L na R kunavyoharibu ladha na primarily ndiyo main issue kwa aliyeianzisha kujadili hiki ulichokuta tunajadiliana.
Na vilevile for your information hakuna mtu anayemlazimisha mtu mwingine kitu chochote kama ulivyotanabaisha kwenye bandiko lako, kuelimishana si porojo wala majungu kwani wote tunajifunza mambo mapya kila uchwao.
Humu haujui maisha ya mtu, wala umri, wala kazi anayoifanya na hata nchi anayoishi hivyo point yako kuwa watu wanao-discuss issues hawana cha maana wanachofanya is an absurdly sickening statement kwani kama wewe uko humu kwa kuwa haujui unachofanya maishani usidhani wote humu wako kwenye category hiyo kama wewe.