Ngao ya Sponji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 341
- 542
Ona balaa Hilo! Sijaona sababu yoyote ya Kuweka maneno yasiyo na Maana wakati maneno yamejaa kibao!Unapolishika hilo rungu , usiruhusu nikapiga puchu zimezingua pia Ila wimbo mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona balaa Hilo! Sijaona sababu yoyote ya Kuweka maneno yasiyo na Maana wakati maneno yamejaa kibao!Unapolishika hilo rungu , usiruhusu nikapiga puchu zimezingua pia Ila wimbo mkali
Yani nikisikiliza mara mbili tu anavyochanganya hizo Herufi Huwa Mzuka unakata! Bahati mbaya hili ni Janga la wasanii wetu karibia wote! Jux ndio Balaa!Huwa hizo L na R anazichanganya zaidi akijilazimisha kile Kiingereza chake cha kuungaunga, lakini mdogomdogo labda mbele ya safari atajifunza jinsi ya kuzitumia kiusahihi.
Mimi huwa sisumbuliwi na hizo 'l/r' wala 'th/s' wala 'dh/z' wala 'm/n' ili mradi tu km ujumbe umeeleweka!Yani nikisikiliza mara mbili tu anavyochanganya hizo Herufi Huwa Mzuka unakata! Bahati mbaya hili ni Janga la wasanii wetu karibia wote! Jux ndio Balaa!
Oh kumbe, basi hilo ni jema sana!Hiyo ngoma mbn inagongwa maeneo mengi, au ni kwetu tuu
Kapo hapo juu mbona!Tupieni hako kawimbo tuthaminishe😀
Uchambuzi mzuri!Vannyboy yule pale ana Collabo na Maluma,yeye mwenyewe ktk Level tu ya EA.
Nigeria wanabebana na wanaijeria ni wabinafsi, Nigeria kuanzia mtangazaji Promota, mameneja, watangazaji na wasanii vision yao moja tuu kukuza Industry yao kwanza. Shaka Wale alizungumza hili wanaijeria walimshambuli wakiongozwa na BurnaBoy.
Nigeria zamani kidogo Trace na MTV zinaanza kuingia Afrika zilikuwa na watangazaji wengi wa SA na hata Playlist wa South walitawala ila sasa hivi vice versa Wanaija wamejaa MTV na Trace na ukitizama Playlist basi zaidi ya 40% ni wao tuu, kujua Wanaija wanajua kuhusu ubinafsi na fitina wanazijua.
Yaani kwa kifupi kila mdau anajua wajibu wake wa kupromote mziki wa Nigeria na si kwetu huku.
Nakumbuka Vanessa aliulizwa anaionaje safari ya mziki wa bongo kimataifa, akasema bado sana kwani inatakiwa katika media kubwa za burudani za Afrika na duniani tunatakiwa kuwa na watu wetu, kwa ajili tu kusaidia kupush mziki wetu na ukiangalia kwa sasa hatuna, zamani tulikuwa na Seven na Vanessa Mdee mwenyewe kwa sasa hatuna kote Nigeria wameshika wao.
Ni mzuri sana kwakweliNikiri kabisa nilikua siujui ila one nikasikia dogo mmoja anausikiliza alafu kaweka repeat 1 ikabidi niutafute mpaka leo most played song kwenye Playlist yangu
Umenena!!!Muziki wa Tanzania una makundi ya kimaslahi.
Media zinamiliki Wasanii na Matamasha. Huku zikipewa nguvu na Mashabiki uchwara waliojaa Chuki.
Hakuna independent promoters.
Yaani, Clouds wana tamasha la la Fiesta, na hivyo wasanii wataokubali kutumbuiza kwenye Tamasha lao cheaply ndio watakaokuwa wanapata strong promotion kwenye Media yao.
Hivyo hivyo kwa Wasafi ( Wasafi TV ), E! TV ( Muziki Mnene) na EATV.
Kwahiyo Kama wewe haupo kwenye MTANDAO huo maana yake, hutapata SHOWS Wala ngoma zako hazitapata rotation kubwa kwenye main stream media.
Na hii ndio sababu sasa hivi Msanii 'kutoka" na kuvuma nje ya mfumo huu ni ngumu sana. Hali hi, imewapoyeza pia wasanii wa zamani.
Vile vile, Kama Msanii huna uwezo wa kuandaa shows zako mwenyewe na Matamasha ndio basi tena.
Na kibaya akili za wabongo zilivyo na Ushabiki uchwara, mpaka playlist anatengenezewa, maana mpaka aambiwe na media fulani kiwa hiyo ngoma ni Kali.
Uchawi upo. Hebu fikiria Steve nyenyere eti msanii naenawasalimu kwa jina la JMT!
Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!!
Melody nzuri,
Mashairi mazuri,
Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia,
Shooting ni njema kabisa.
Vyote vinastahili kusikilizwa harusini, clubs na hata mitaani. Ajabu ni kuwa napita humo mwote na ni nadra kuusikia.
Nazisikia nyimbo zingine zinazopigwa mara kwa mara,.....nabaki nashangaa tu!
Mwishowe nimeona nihitimishe tu kuwa kumbe hapa Bongo kwenye muziki inabidi uroge pia, yaani ni WACHAWI KUMBE!
Nashindwa kujua hasa kinachosababisha uzuzu huu ni kitu gani, tena hili janga ni kubwa zaidi kwa artists wa kiume.Yani nikisikiliza mara mbili tu anavyochanganya hizo Herufi Huwa Mzuka unakata! Bahati mbaya hili ni Janga la wasanii wetu karibia wote! Jux ndio Balaa!
Makasirikio. Watu hawataki kuona wapendanao wakifurahi. Ajabu sana [emoji51]Acha shobo mkuu, sijakuomba wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, hivi ugonjwz huu jf utaisha lini?!!!!
Ukianzisha mada inayohusu wabunge unaitwa mbunge,
Ukuanzisha inayohysu walimu unahisiwa kuwa ni mwalimu,
Polisi unahisiwa ni polisi,
Ulinzi, utahisiwa mlinzi,
N.k
Yaani tabu tupu!
Kabisa! Wasanii wakike kwakweli wanajitahidi Sana! Hawa wasanii hasa Wakubwa walitakiwa wawe na Team ya watu wa Sarufi warekebishe Makosa kama Haya! Makosa kama Haya yanaondoa ladha kabisa Ya Muziki.Nashindwa kujua hasa kinachosababisha uzuzu huu ni kitu gani, tena hili janga ni kubwa zaidi kwa artists wa kiume.
Kwakweli Mimi Huwa napatwa na Ghadhabu ya Kufa Mtu! Huwa nataman niwachane sema ndio Sina Pa kuwapata! Maana page zao sifuatilii kiivyo!Mimi huwa sisumbuliwi na hizo 'l/r' wala 'th/s' wala 'dh/z' wala 'm/n' ili mradi tu km ujumbe umeeleweka!
Wakishaanza kuokotaokota vijisenti wanawaona wasomi si lolote si chochote hivyo umuhimu wa perfection kwenye sarufi wanaudharau plus the majority of their fans nao ni walewale tu sifuri kichwani, nadhani kwa factors hizo pamoja na nyingine kadhaa ndivyo vinapelekea yote haya.Kabisa! Wasanii wakike kwakweli wanajitahidi Sana! Hawa wasanii hasa Wakubwa walitakiwa wawe na Team ya watu wa Sarufi warekebishe Makosa kama Haya! Makosa kama Haya yanaondoa ladha kabisa Ya Muziki.
Masuala ya herufi hatakwa ninyi mnaojiita Wasomi ni trash.Wakishaanza kuokotaokota vijisenti wanawaona wasomi si lolote si chochote hivyo umuhimu wa perfection kwenye sarufi wanaudharau plus the majority of their fans nao ni walewale tu sifuri kichwani, nadhani kwa factors hizo pamoja na nyingine kadhaa ndivyo vinapelekea yote haya.
You must be very stupid, inaelekea umedandia tu bila kuelewa tunachokijadili ni nini.Masuala ya herufi hatakwa ninyi mnaojiita Wasomi ni trash.
Mara nyingi Hawa wapiga kelele mitandaoni wa sarufi ni wapuuzi fulani ambao hawana Cha maana wanachofanya zaidi ya porojo na majungu...
Unazungumzia sarufi na herufi as if kwenye Muziki watu wanaiba Kiswahili sanifu.
Muziki una lugha yake Kama ilivyo kwenye mpira. Sioni sababu kubwa ya kulazimisha mashairi ya Muziki yafanane na mashairi ya kimapokeo.