Sana, ni mzuri mno kusema kweliHuu wimbo sichoki kuusikiliza bonge moja la Pini .....!!!
Kiukweli unastahili kupendwaNaupenda Sana huo wimbo.
Kumbe! Kama hivyo bora ajitokee zakeMchawi wake ni boss wake,kila siku anatoa nyimbo anataka kusikika yeye. Huyo dogo bora angebaki kwa Kiba au angeamua kuwa mwenyewe.
Harmonize hawapi nafasi wasanii wake na hana muda ya kuwapromoti na mwezi huu wa tano anatoa album nyingine ,huku akiacha kuipromoti EP ya Killy iliyotoka mwezi wa pili.
Nashindwa kuunganisha aisee!Uko wapi sasa mkuu!?? Weka hapa!
Pia Skiza Anjella Ft KondeBoy - Kioonawasalimu kwa jina la JMT!
Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!!
Melody nzuri,
Mashairi mazuri,
Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia,
Shooting ni njema kabisa.
Vyote vinastahili kusikilizwa harusini, clubs na hata mitaani. Ajabu ni kuwa napita humo mwote na ni nadra kuusikia.
Nazisikia nyimbo zingine zinazopigwa mara kwa mara,.....nabaki nashangaa tu!
Mwishowe nimeona nihitimishe tu kuwa kumbe hapa Bongo kwenye muziki inabidi uroge pia, yaani ni WACHAWI KUMBE!
Wimbo mbona unasikilizwa sana. Sema haupo kwenye cycle yako.nawasalimu kwa jina la JMT!
Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!!
Melody nzuri,
Mashairi mazuri,
Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia,
Shooting ni njema kabisa.
Vyote vinastahili kusikilizwa harusini, clubs na hata mitaani. Ajabu ni kuwa napita humo mwote na ni nadra kuusikia.
Nazisikia nyimbo zingine zinazopigwa mara kwa mara,.....nabaki nashangaa tu!
Mwishowe nimeona nihitimishe tu kuwa kumbe hapa Bongo kwenye muziki inabidi uroge pia, yaani ni WACHAWI KUMBE!
Nitafanya hivyoPia Skiza Anjella Ft KondeBoy - Kioo
Kweli kiongozi?!!!Wimbo mbona unasikiliza sana. Sema haupo kwenye cycle yako.
Mtu muda wote unasikiliza Wasafi fm, Wasafi TV na Instagram una follow Wacb halafu unategemea kusikia nyimbo za Kondegang, kweli???
Haswaaaa!!Huo hapo mbona unatamba sana
Kumbe anajua sana huyu bwana mdogo ee? Hii kitu ya kutopromotiwa watu wenye vipaji vyao inakera sana na inaumiza....Nyimbo yake nyingine kali ni hii hapa.
Mbona ana nyimbo nyingi nzuri huyu dogo, anachokosa promo.