Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

Muanzisha mada itakua tayari yamekukuta 😂
 
Ibilisi wa mtu ni mtu... Uchawi wa nje ni 25% tuu uchawi mkubwa uko nap mwenyewe
Mashabiki hawataki kiki wa majisifu na bifu za kitoto watakupa kisogo ukimbiwe mpaka na kivuli chako

Hivi hujawahi kuona mwanasiasa mwenye familia ndugu jamaa na marafiki anapata kura moja?
 
Neno!
 
Jamaa utakuwa ndio Killy mwenyewe umeamua kuja kutushirikisha huu ya wimbo wako. Any ways siujui ila kwa kuwa unalalamika nitajitahidi niutafute niusikilize
Aisee, hivi ugonjwz huu jf utaisha lini?!!!!
Ukianzisha mada inayohusu wabunge unaitwa mbunge,
Ukuanzisha inayohysu walimu unahisiwa kuwa ni mwalimu,
Polisi unahisiwa ni polisi,
Ulinzi, utahisiwa mlinzi,
N.k

Yaani tabu tupu!
 
Huu wimbo sichoki kuusikiliza bonge moja la Pini .....!!!
Nyimbo Kali sana! Imetulia Ila Wakianza kuimba mashairi Yao ya Kichoko eti "usizinyoe nikusuke mabutu" like wtf! mashairi ya namna hii nayachukia sana! Hapo Harmoize Bado hajaanza Kuchanganya R na L Yani ndo nachoka kbsa
 
Nyimbo Kali sana! Imetulia Ila Wakianza kuimba mashairi Yao ya Kichoko eti "usizinyoe nikusuke mabutu" like wtf! mashairi ya namna hii nayachukia sana! Hapo Harmoize Bado hajaanza Kuchanganya R na L Yani ndo nachoka kbsa
Unapolishika hilo rungu , usiruhusu nikapiga puchu zimezingua pia Ila wimbo mkali
 
Acha nikaisikilize
 
Nikiri kabisa nilikua siujui ila one nikasikia dogo mmoja anausikiliza alafu kaweka repeat 1 ikabidi niutafute mpaka leo most played song kwenye Playlist yangu
 
Killy sijui tatizo nini

Toka anaanza muziki huwa ana nyimbo nzuri na video kali lakini hatoki

At least alipokuwa kwa kiba ile kupewa nafasi kubwa akaanza kuonekana ila aliporudi kwa konde, karudi kule kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…