Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

UNAFIRWA

Soko letu lishaharibiwa, wachanga kuchangamka sijui
 
Nilijua tu vilaza kama Hawa hawatakosekana! Msamehe Bure Mkuu! Tuishi nao tu hivyo hivyo! Hapa tunaongelea Hoja za Kuboresha Mziki wa Watu wetu yeye anakuja kuonyesha Utupu wa Akili yake.
 
Nilijua tu vilaza kama Hawa hawatakosekana! Msamehe Bure Mkuu! Tuishi nao tu hivyo hivyo! Hapa tunaongelea Hoja za Kuboresha Mziki wa Watu wetu yeye anakuja kuonyesha Utupu wa Akili yake.
Kumbaini umbumbumbu wake akapanic na kuanza matusi baada ya kukosa solid points za kutetea uzuzu wake, pole yake kwa kuwa hana uwezo wa kuji-engage kwenye serious discussions.
 
Wimbo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
We fala nini, mimi nijali ya wapendanao ili iweje, nimesema ww na matahira wenzako muende youtube mkauangalie wimbo, hizo simu zenu ni makopo ya wapi ambayo huezi ku access youtube
Ni utani tu bro. Relax. Hasira zote hizi za nini? Are you OK? [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…