#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

Nchi hii watendaji wajuu hasa mawaziri wametufedhehesha sana. Kusadiki vitu ambavyo havikutafitiwa na kupuuza sayansi halisi. Matokeo yake siku hizi wamepunguza mihemko kimya Kama siyo wao.
 
Sio nyungu peke yake, wizara ya afya imeanza kutoa matangazo ya watu kuchukua tahadhari dhidi ya covid na TCRA hawatoi tena lile tangazo la kuzuia watu kuongelea covid.
 
Mh.Rais aone kwamba wizara ya afya Ni nyeti na inahitaji viongozi makini na wenye uwezo zaidi ya waliopo Sasa.
Waliopo wanafaa kuwa viongozi lakini sio kwenye wizara hiyo,kuna mambo mengi ya kufanya hapo lakini wao wamejikita kwenye Jambo moja tu la kutafuta wezi wa dawa na kuiaminisha jamii kwamba watumishi wa uma Ni wezi Jambo linalopelekea kuwavunja moyo watumishi waaminifu na kuwafrustrate.
 
Yaani magu fool was a distaster, disgrace to our nation,

Eti anasema corona imeondoka tanzania KWA sababu tumefanya maombi na mungu kajibu maombi yetu?what's so special mungu ajibu tuh maombi ya watz na ayaache ya watu wa mataifa mengine??...af alikuwa serious eti yule jamaa dah
 
Uchawi upo
Wengi walikuwa wamerogwa na sasa wako huru
Ukimya wa baadhi ni kuwa bado wako kwenye mfadhaiko baada ya majini kutoka ila watakaa sawa baada ya mda, tuwape mda wa ku Recover
 
Yaani magu fool was a distaster, disgrace to our nation,

Eti anasema corona imeondoka tanzania KWA sababu tumefanya maombi na mungu kajibu maombi yetu?what's so special mungu ajibu tuh maombi ya watz na ayaache ya watu wa mataifa mengine??...af alikuwa serious eti yule jamaa dah
Matokeo yake Corona ikaja kumcorona mwenyewe
 
Mwenyezi Mungu anatupenda. I believe he scenes in the script were meant to end up where he has ended up. Tunashukuru for what he has done. Tugange yanayokuja.
I was wondering hivi bunge ni la chama kimoja? Kumbe kuna kina mdee. Kweli maendeleo hayana chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kina Mdee ni CCM masalia, CDM iliwatema!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii watendaji wajuu hasa mawaziri wametufedhehesha sana. Kusadiki vitu ambavyo havikutafitiwa na kupuuza sayansi halisi. Matokeo yake siku hizi wamepunguza mihemko kimya Kama siyo wao.
Mamburula kweli kweli yaani!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Yaani magu fool was a distaster, disgrace to our nation,

Eti anasema corona imeondoka tanzania KWA sababu tumefanya maombi na mungu kajibu maombi yetu?what's so special mungu ajibu tuh maombi ya watz na ayaache ya watu wa mataifa mengine??...af alikuwa serious eti yule jamaa dah
Mkuu nikiona ID yako nakumbuka slogan ya "...gesi haiondoki hata kwa mrija wa peni..."
Mkuu ulijitahidi Sana hadi wajeda wakamwagwa Mtwara! Mkapigwa Sana na gesi ikabebwa kwa bomba lenye upana wa kimo changu!
 
Hii imetoka moyoni kweli au na wewe umeandika tu kama na wao wanavyoandika?
Mkuu, labda ni staili fulani hivi za kebehi, na yawezekana baada migandamizo yake na wenzake kuzaa "matunda" kwa upande fulani. 🙂🙂
 
Back
Top Bottom