Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Sijaelewa hata kimoja
 
Huyu Aly hilali ulomwandika hapo ni mtu au?
 
 
Soma vzr utaelewa. Nawaambia utopolo na nyuzi zao kuhusu simba zilifululiza humu mpk kero. Sasa wanasema Yanga ni kubwa kisa mnaiongele daily watafungwa na Al hilaly
Aaaah!!! Ok wao wenyewe wanaelewa kam safari yao imewadia
 
Wewe ni Mnafiki na labda nikuchane mubashara ( live ) hapa hapa bila ya Kukuficha kuwa Sikupendi ( Nakuchukia ) na sitaki Shobo nawe na acha pia Kujipendekeza mno Kwangu sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…