martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
- Thread starter
- #101
Sijaelewa hata kimojaSasa baada ya zile pilikapilika za kuandika mashudu kila siku mzungu hivi mzungu vile, mara kikosi hakieleweki mara kocha amefukuzwa mara barbara hivi mara simba vile nyuzi zilikua zinaongozana mpk kero. Sasa kaeni kwa kutulia maana mpk mcheze na hyo Aly Hilali mtakua mmetoa matusi yotee na mkifungwa sasa mnayarudia hahah. Tulieni na nyie dawa iwaingie