GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium.
Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini ( Nigera kwa Magoli Mawili ya Fundi wa Kufunga nchini Tanzania Fiston Kalala Mayele ) Kazi tayari imeshakwisha kwa 99% kwa Yanga SC kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Pili kwa Ubora Afrika la Shirikisho ( CAFCC )