Kwanini Yeriko Nyerere ana chuki ya kiwango cha juu dhidi ya Tundu Lissu?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Screenshot_20260822-140120.png

".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibiašŸ˜‚. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
 
View attachment 3654977

Akumbuke dua la kuku halimpati mwewe
 
Chadema imetekwa na kuharibiwa na walugaluga na waporipori na sasa imefikia hata walokole wamejaa ndani
Chama kikisha fika huko ndio kwisha kabisa.
Kama ZANU walizuia kina Changarai waliokuwa vibaraka wa wazungu mpaka leo wamepotea kabisa, sioni CCM kushindwa na hawa wadini na washamba wa vijijini wanotaka kuleta uvunjifu wa amani.
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibiašŸ˜‚. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Kumbe ninyi mlipokuwa mnamtukana hadi matusi ya nguoni ilikuwa sawa. Yeye kumsema kidogo mjaa povu mdomoni. Lissu must be hunged!
 
Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr @Yericko Nyerere?
Dogo Yericko Nyerere anatafuta tu umaarufu kwenye mitandao, ambako ndio biashara yake ipo.

Chuki yake haina maana yoyote kwakuwa yeye na Lissu ni vitu viwili tofauti, hamna sehemu ambapo wanakutana. Lissu amemzidi huyo Dogo kila kitu. Muacheni afurahie maana ndio wakati wake wa kufurahi, asipofurahi sasa anaweza asifurahie tena siku zake zilizobakia.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibiašŸ˜‚. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Yerricko anaumwa
 
Anamchukia kwa sababu mirija yote ya ulaji pale makao makuu imekatwa! Kwenye orodha ya wanaomchukia Lissu ni kubwa kuliko ilivyo kawaida. Ni vile tu wengine wanajisikia aibu kuonesha chuki zao waziwazi.
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibiašŸ˜‚. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Yeriko alikatiwa buyu la asali na tundu Antipas Lissu soon after kuchukua uenyekiti

By the way yeriko nyerere jasusi la vijarada uchwara ni MATAKO YAKO IN SUGU VOICE 😊
 
Ni haki yake kutoa maneno hayo. Hata jiwe alipodanja kuna watu walichinja mbuzi wakala, wengine walimpiga picha kwa Siri akiwa kwenye jeneza pia kuna mmoja alisema atakunya juu ya kaburi lake akaiingiza familia kwenye gharama ya kujenga jumba kubwa juu ya kaburi lake wasije wakanya juu yake. Huyu muwe naye asije kunya makahamani siku Lisu akiachiwa huru.
 
Kwani ni wapi Tundu Lisu na Yericko Nyerere waliwahi kukutana mpaka Yericko awe na chuki na hasira na Lissu kiasi hicho?

Siamini kama Anachuki. Hilo siamini.
Ila anachotafuta ni kuwakera wale ambao wanampenda Lissu ambao ni maadui zake yeye(Yericko)
Yeriko alikuwa kupe wa Mbowe,host akichinjwa kupe lazima apate matatizo(kwa definition ya parasite)
 
Kwani ni wapi Tundu Lisu na Yericko Nyerere waliwahi kukutana mpaka Yericko awe na chuki na hasira na Lissu kiasi hicho?
Alipokuwa CHADEMA kabla hajaenda CHAUMMA..

Kosa la Tundu Lissu ni kugombea uenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Freeman Mbowe (ATM ya Yericko Nyerere) na kumshinda..

Team Mbowe wote hawakutaka iwe hivi. Walitaka daima TL awe ni subject wa FAM, wamtumie vizuri kupiga pesa za siasa za majitaka ya CCM na Samia..

Ikashindikana, chuki ikazaliwa na kwa chuki hii Team Mbowe wako ktk harakati za kukirudisha chama mikononi mwao na kumrejesha FAM kwenye Kiti chake cha enzi..

Wataweza?
Siamini kama Anachuki. Hilo siamini.
Ila anachotafuta ni kuwakera wale ambao wanampenda Lissu ambao ni maadui zake yeye(Yericko)
Ni maoni yako na inabaki hivyo.

Lakini usijali, nayaheshimu...
 
Back
Top Bottom