Alipokuwa CHADEMA kabla hajaenda CHAUMMA..
Kosa la Tundu Lissu ni kugombea uenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Freeman Mbowe (ATM ya
Yericko Nyerere) na kumshinda..
Team Mbowe wote hawakutaka iwe hivi. Walitaka daima TL awe ni subject wa FAM, wamtumie vizuri kupiga pesa za siasa za majitaka ya CCM na Samia..
Ikashindikana, chuki ikazaliwa na kwa chuki hii Team Mbowe wako ktk harakati za kukirudisha chama mikononi mwao na kumrejesha FAM kwenye Kiti chake cha enzi..
Wataweza?
Ni maoni yako na inabaki hivyo.
Lakini usijali, nayaheshimu...