Kwanini Yeriko Nyerere ana chuki ya kiwango cha juu dhidi ya Tundu Lissu?

Kwanini Yeriko Nyerere ana chuki ya kiwango cha juu dhidi ya Tundu Lissu?

Mimi sina jambo lolote la kumchukia mzilankende magafurii

Mimi si mpiga deal
Mimi sio cheti feki
Mimi sio mfanyakazi hewa
Mimi sio mfanya biashara ya dawa za kulevya

NB. Comment Yako ilinifanya nimkumbuke Kiranga huyu ni brother ambae hajawai kumkubali magufuri so Huwa tuna debate sana na hata akija hapa atambagaza sana mwendazake
Lissu atakapochukuwa uongozi sijui Yeriko atahama nchi au vipi!
 
1787760312201.jpeg
1787760312201.jpeg
 
Back
Top Bottom