Kwanini Yeriko Nyerere ana chuki ya kiwango cha juu dhidi ya Tundu Lissu?

Kwa maneno haya si ajabu nawe ni mmoja wapo wa waliokusudia kunya juu ya kaburi LA mwenda ZAKE. Nakusubiria.
Mimi sina jambo lolote la kumchukia mzilankende magafurii

Mimi si mpiga deal
Mimi sio cheti feki
Mimi sio mfanyakazi hewa
Mimi sio mfanya biashara ya dawa za kulevya

NB. Comment Yako ilinifanya nimkumbuke Kiranga huyu ni brother ambae hajawai kumkubali magufuri so Huwa tuna debate sana na hata akija hapa atambagaza sana mwendazake
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Mwambieni CCM haina rafiki /adui wa kudumu,na pia huko mahabusu/jela hakuchagui mtu, Dunia inazunguka hii
 
Kwani lissu akifa taifa litapata hasara gani?

Labda tecdema ndo itapata hasara
 
Anamchukia kwa sababu mirija yote ya ulaji pale makao makuu imekatwa! Kwenye orodha ya wanaomchukia Lissu ni kubwa kuliko ilivyo kawaida. Ni vile tu wengine wanajisikia aibu kuonesha chuki zao waziwazi.
Secretariete yoote ya zamani ilikuwa ni kundi la ccm, baada ya Lissu kushinda wote walihamia Chauma
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Yericko ni malaya wa kisiasa
 
Kuna wakati binadamu tunashibdwa kujifunza jambo..."unapolala leo hujui utakapoamkia kesho"
Tunahitaji kuweka akiba ya kesho yetu maana hatujui tutakapoamka kesho tutajumuika na nani kwenye msongamno wetu wa maisha...
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Kwa sababu alikuwa genge linaloitafuna fedha za CHADEMA na sasa Lissu amekata huo mrijaa.
 
Kwani ni wapi Tundu Lisu na Yericko Nyerere waliwahi kukutana mpaka Yericko awe na chuki na hasira na Lissu kiasi hicho?

Siamini kama Anachuki. Hilo siamini.
Ila anachotafuta ni kuwakera wale ambao wanampenda Lissu ambao ni maadui zake yeye(Yericko)
Uko sahihi, hata hivyo ana chuki maana Lisu ndio aliyechukua nafasi ya boss wake. Na huyo Yerricko ni mmoja wa wafaidika binafsi wa madaraka ya Mbowe ndani ya cdm alipokuwa mwenyekiti. Na hilo la wafuasi wa Mbowe kumkashifi Yerricko limemuuma sana.
 
Hao jamaa walinufaika na chama kuliko chama kilivyonufaika nao.

Kuna video moja nimeona ya Lissu alipokua mwenyekiti akasema mkutano mkuu ulipitisha No REFORMS NO ELECTION kipindi yeye bado ni makamu mwenyekiti na kwakua ameingia kama mwenyekiti wale waliofikiri yeye anatania basi wajue hatanii ataisimamia maana imepita katika mkutano mkuu na mkutano mkuu tu ndio unaweza kuitengua.

Tafsiri ya ile video nilikuja kuielewa mwezi May hasa lile genge la akina Yericko kujiita G55 kutishia na baadae kuhamia CHAUMMA[project mpya] ni kwamba walikua wanatumia mbinu ya kutishia jambo wanawasha moto kweli ili baadae waitwe mezani nyuma ya pazia wanavuta pesa halafu wanakuja kuwaambia wananchi msimamo mpya.

Mimi ninaamini hata project iliyofeli ya CHAUMMA ilikua na baraka na mikakati ya Mbowe .

Licha ya Mbowe kusimamia na kuanzisha NO REFORMS NO ELECTION mwaka 2021 kabla haijaja kupitishwa na mkutano mkuu 2024 ninaamini angeendelea kuwa mwenyekiti basi CHADEMA ingetishia na baadae ingeingia kwenye uchafuzi wa 2025 hivyo hawa watu walinufaika na chama kuliko chama ambavyo kilinufaika nao na ilikua ni sehemu yao ya kupiga pesa kupitia udalali wa kisiasa.

Mwacheni Mbowe apige biashara historia itamkumbula kila mtu kwa alichokifanya haisahauliki.
 
Mimi sina jambo lolote la kumchukia mzilankende magafurii

Mimi si mpiga deal
Mimi sio cheti feki
Mimi sio mfanyakazi hewa
Mimi sio mfanya biashara ya dawa za kulevya

NB. Comment Yako ilinifanya nimkumbuke Kiranga huyu ni brother ambae hajawai kumkubali magufuri so Huwa tuna debate sana na hata akija hapa atambagaza sana mwendazake
Magufuli alisumbuliwa na ushamba.

Ndiyo maana hata mambo aliyofanya machache sana kafanya kwa mkakati endelevu. Mengi yalikuwa show za kibabe za kishamba tu.

Halafu Bongo kuna ujinga fulani mtu akisema mabaya ya Magufuli anaonekana kama mtetezi wa Samia.

Wakati wote ni walewale tu. Ila wajinga wengi hawawezi kuangalia mambo kimfumo na kujua tatizo ni kubwa kuliko Magufuli na Samia, wanaishia kufanya battles za kijinga za team Mgufuli vs team Samia.
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Yericko Ana laana ya kwao huyu,Alichunguliwa wazazi wake wakti wakiwa faragha.Huwezi tarajia tofauti kwake...
 
Chadema imetekwa na kuharibiwa na walugaluga na waporipori na sasa imefikia hata walokole wamejaa ndani
Chama kikisha fika huko ndio kwisha kabisa.
Kama ZANU walizuia kina Changarai waliokuwa vibaraka wa wazungu mpaka leo wamepotea kabisa, sioni CCM kushindwa na hawa wadini na washamba wa vijijini wanotaka kuleta uvunjifu wa amani.
Ccm ndio maana imegeuka genge la wafiraji, watekaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta jambo ambalo limepelekea lichama kufa kabisa hivyo kupumulia mbeleko ya polis na usalama wa Taifa ambao ni uvccm.
 
Nauliza tu swali:
Ni nani aliyewahi kumsikia Tundu Lissu akimzungumzia Yericko. Aliseamaje?

Mimi namchukia Samia Suluhu Hassan na Genge lake lote, siyo kwa sababu waliwahi kusena chochote kuhusu Kalamu. Nawachukia kwa sababu wanalibomoa taifa letu, wanavuruga umoja wa taifa hili.

Yericko, Lucas Mshamba, Tlaatlaah (mzoga), Stuxnet, na wengine wengi waaina hiyo wanaomchukia Tundu Lissu sababu iko wazi. Anahatarisha maslahi binafsi wanayoyafaidi kwa Samia kuendelea kuwa madarakani.
 
View attachment 3654977
".....Aisee niseme ukweli wa moyo wangu, tangu jana ninafuraha isiyoelezeka aisee, Huyu msenge alijeruhi sana moyo wangu, kisha yeye na ******* wake wakaendeleza vita usiku na mchana, Kimsingi siafiki anyongwe lakini aione dunia ilivyo duara. Jana Mizimu imenijibia😂. Haki itendeke!.."
==============​
Hii ni lugha ya mwanasiasa mlemavu wa akili na busara...

Ni lugha ya wanasiasa asiye na ukomavu wa kisiasa kwa kiwango kikubwa...

Umeshindwa kabisa kuficha chuki yako Ili kuficha the stupid and foolish side of yours Mr Yericko Nyerere?

Ujifunze kwa boss wako Freeman Mbowe kuficha chuki na ujinga wako...

Hakuna asiyejua kuwa, Freeman Mbowe anamchukia Tundu Lissu. Anatamani baya lolote limpate sasa kuliko wakati ule alipokuwa anamtumia kibiashara..

Lakini Mzee huyu, huwezi kumwona akifunua mdomo wake kuyaonesha wazi haya kama wewe..!!
Kwa roho hiyo huyu hana tofauti na watekaji na wale wafilaji wengine maana anaroho ya kishetani kabisa,sasa ndio upate picha ya aina gani ya wanaupinzanza walionkuwa wanatulisha matango pori kumbe wananwafanyia usnitch watanganyika
 
Chadema imetekwa na kuharibiwa na walugaluga na waporipori na sasa imefikia hata walokole wamejaa ndani
Chama kikisha fika huko ndio kwisha kabisa.
Kama ZANU walizuia kina Changarai waliokuwa vibaraka wa wazungu mpaka leo wamepotea kabisa, sioni CCM kushindwa na hawa wadini na washamba wa vijijini wanotaka kuleta uvunjifu wa amani.
Hii mbinu ya kugeuzia sifa ya "udini" kwa watu wengine wakati ndiyo sumu inayokuumiza mwenyewe siyo jambo geni.
Wewe ni miongoni mwa 'foot soldiers' wa kundi hatari ndani ya taifa hili. Mmekiteka chama cha CCM na kukifanya kuwa cha kutimiza malengo ambayo yalishindikana Kibiti, mapango ya Amboni na kwenye milima ya mawe Mwanza.
Ni swala la muda tu hicho chama kitasambaratika.
Unavizungumzia ZANU, lakini huna ujasiri wa kukumbuka KANU, UNIP, na vyama vingi vingine vya aina hiyo.
 
Back
Top Bottom