Kwanini Yeriko Nyerere ana chuki ya kiwango cha juu dhidi ya Tundu Lissu?

Chawa wote kawe hawawezi kumwelewa huyu mwamba.
 
Hako kajamaa ni kajinga jinga
 
Msongo wa mawazo,ana matatizo ya afya ya akili.
 
Hata Dj akichukua tena Chadema, itakuwa na sawa na Chaumma, watu watawafuata Lissu, Heche kokote watakakoenda, Dj kesha chuja kama mzani ukisema 1 hadi 10 yeye yupo 1, kujitenga kwake kwa yaliyotokea na yanayoendelea halafu anaibukia bwawani tayarisha kumemshusha thamani, kwa sasa hana tofauti na akina Mwalimu,mzee wa ubwabwa na wengineo, mbogamboga wamebugi stepu kama wana hiyo project.
 
Yeriko amefirwamba na Viongozi wa CDM ndio maana ana chuki sana. Ukienda kigambon kila mtu anajua yeriko anashikishwa ukuta
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Kwani ana impact gani huyu kenge? Halafu nani alisema hisia zake zina effect yoyote kwa simba? Wanamchukia kina mamaduro, jekee na kina abduli na wasira na cha ajabu Lissu anasonga mbele bila shaka yoyote

Walimchukia kina jiwe na mkapa na wote washalamba udongo itakuwa hiki kichawa cha mboe? matumizi mabaya na muda tu kudiscuss vutu kama hivi vipate relevance abduli avione kwa ajili ya posho, ignore tu ndio stahili yao
 
Utaacha kua na chuki ikiwa hata kuandika "hanged" huwezi??
ni ngumu

Kumbe ninyi mlipokuwa mnamtukana hadi matusi ya nguoni ilikuwa sawa. Yeye kumsema kidogo mjaa povu mdomoni. Lissu must be hunged!
 
It really doesn’t matter much whether he hates or loves him, this kind of language used is simply unacceptable. Stooping too low. Never ever thought he would get to this level.
 
YERRICKO IS A REAL G , HE TRULLY SHOWS HIS TRUE COLOR . NO FAKING , NO GIMMICKS
A madman cannot hide his insanity .
Yeriko is basket case in need of urgent psychiatric confiment in mental assylum .
 
Kwani ni wapi Tundu Lisu na Yericko Nyerere waliwahi kukutana mpaka Yericko awe na chuki na hasira na Lissu kiasi hicho?

Siamini kama Anachuki. Hilo siamini.
Ila anachotafuta ni kuwakera wale ambao wanampenda Lissu ambao ni maadui zake yeye(Yericko)
Kuishi kuwa Yeriko Nyerere kulitegemea Freeman Mbowe. Hivyo mbowe kutokuwa Ofisini kumekata mirija yake. Hapati hela tena.. Alikuwa akifanya kosa chadema inampa wakili. Sasa hivi anakula bamia kwa chai
 
Umeandika ki Makebo Makebo
 
Hiyo ndiyo demokrasia,Kuwa huru kutoa maoni yako bila unafiki, hata kama linaumiza. Na hili lazima liingizewe kwenye katiba mpya amabyo tumetakiwa tuipiganie juu chini.
 
Hata ingekuwa wewe mtu amekukatia ulaji ungefurahia?
 
Kiboko yake ni Dr. Rwaitama👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…