Mimi sina jambo lolote la kumchukia mzilankende magafurii
Mimi si mpiga deal
Mimi sio cheti feki
Mimi sio mfanyakazi hewa
Mimi sio mfanya biashara ya dawa za kulevya
NB. Comment Yako ilinifanya nimkumbuke
Kiranga huyu ni brother ambae hajawai kumkubali magufuri so Huwa tuna debate sana na hata akija hapa atambagaza sana mwendazake