Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
HeheheLete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamu ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheLete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamu ??
Sinimekuambia kasome upya kwa kutumia fafanuzi zangu kwanza kisha ndiyo njoo kuuliza zaidi au ujui ku download app ya biblia kwenye simu yako .?Naona ushahidi umeuleta mwingi hapa
Biblia ziko kwa maelfu hiyo uliyoisoma wewe Lete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamuSinimekuambia kasome upya kwa kutumia fafanuzi zangu kwanza kisha ndiyo njoo kuuliza zaidi au ujui ku download app ya biblia kwenye simu yako .?
Unajua maana ya I AND THE FATHER ARE ONE?
Unataka ushahidi upi?
Na ikiwa unakataa kuhusu kufufuka wa Yesu, kwanini utimie vifungu vya BIBLIA kupinga uungu wa Yesu ikiwa unapingana na ushahidi wa maandiko juu ya kufufuka Kwa Yesu?

Ahsante sana Kwa somo1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10
3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)
4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."
5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.
Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Umesema I AND THE FATHER haieleweki kwako,Wakristo mnadai kwamba Yesu alikiri kwamba yeye na Mungu
walikuwa ni kitu kimoja kwa maana ya Kimaumbile pale anaposema
katika Yohana 10:30; “Mimi na Baba tu umoja.”,
Baadae katika Yohana 17:21-23, Yesu alinena kwamba wafuasi wake, yeye
mwenyewe na Mungu ni kitu kimoja katika sehemu tano. Sasa kwa
nini walipe neno “Kitu kimoja” la kwanza maana nyingine tofauti na
yale maneno “kitu kimoja” katika sehemu tano nyinginezo?
Umeelewa kasome biblia injili au rudi nyuma kwenye comment zangu utakutaBiblia ziko kwa maelfu hiyo uliyoisoma wewe Lete ushahidi kutoka biblia Bwana Yesu anasema mimi ni Mungu niliyevaa mwili wa binadamu
Uhusiano wa Neno na Mungu: Yohana 1:1 inaonyesha kuwa Neno alikuwa "kwa Mungu," na si kwamba Neno alikua Mungu mwenyewe. Hii inaweza kueleweka kama kuwepo kwa tofauti kati ya Mungu na Neno, huku Neno likiwa na uhusiano wa karibu na Mungu lakini si Mungu mwenyewe.
Umesema I AND THE FATHER haieleweki kwako,
Sasa kwanini usitulie ueleweshwe?
Wawezaje kupinga BIBLIA Kwa kutumia BIBLIA usoiamini?
Safi sana1. Ushahidi wa Kibiblia
Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo."
Yesu mwenyewe alikiri kuwa ni Mungu:
Yohana 10:30 – "Mimi na Baba tu umoja."
Yohana 8:58 – "Amini, amini, nawaambia, Kabla Abrahamu hajakuwako, Mimi niko."
2. Sifa za Kimungu alizo nazo Yesu
Uwepo wake wa milele – Mika 5:2
Uwezo wa kusamehe dhambi – Marko 2:5-7
Uwezo wa kutoa uzima wa milele – Yohana 10:28
Uwezo wa kuhukumu ulimwengu – 2 Wakorintho 5:10
3. Miujiza inayodhihirisha Uungu wa Yesu
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11) –
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)
4. Unabii wa Agano la Kale ulitimia kuhusu Uungu wa Yesu
Katika Isaya 9:6 – Yesu anaitwa "Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele."
Katika Mathayo 1:22-23, tunasoma jinsi unabii huo ulivyotimia:
"Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema, Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, Naye watamwita jina lake Imanueli; yaani, Mungu pamoja nasi."
5. Watu Walimwabudu Yesu na kukiri kuwa ni Mungu
Mathayo 28:9,17 – Wanafunzi wake walimsujudia.
Yohana 20:28 – Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu! Yesu alipoambiwa na Tomaso kuwa ni Mungu, hakukanusha.
Kama unadai Yesu sio Mungu, toa sababu zako hapa
Umesema I AND THE FATHER haieleweki kwako,
Sasa kwanini usitulie ueleweshwe?
Wawezaje kupinga BIBLIA Kwa kutumia BIBLIA usoiamini?
Unaamini kuwa Yesu alifufuka,Soma context kwanza utaelewa maana yake
Hizo story Za mapepo kawaulize Hao wachungaji wako wanaokudanganya .Sasa Unadhani huyo sheh mwenye majini kichwani anawezaje kukiri kuwa Yesu ndiye Mungu Mmoja,
Unataka anyongwe na mapepo?
Baba Yako shetani anajua Yesu ni nani na alimwabia Yesu, ikiwa u mwana wa Mungu...Hizo story Za mapepo kawaulize Hao wachungaji wako wanaokudanganya .
Tuko pamojaAsante kwa kusoma
Baba Yako shetani anajua Yesu ni nani na alimwabia Yesu, ikiwa u mwana wa Mungu...
Na kamwe hawezi kukuruhusu umkiri au ujue Yesu ni Mwana wa Mungu aje
Mapepo yaliyompagaa mtu yule Kwa Wagerasi, yalimkiri Yesu kuwa " Tunakujua u Mwana wa Mungu aliye juu, tunaomba usitupeleke shimoni!
Mapepo yamjua Yesu ni Mungu, lakini kamwe hayatokuruhusu umkiri.
Mungu ni MMOJA tu, na Jina lake ni YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH
Kuna watu mia na arobaini na nne elfu wataingia Mbinguni Kwa kumwamnii Yesu,Yesu katumwa kwa wana wa Israeli , hakujituma , Wacha kutuletea stori Za wachungaji wako wanaokudanganya kutafuta ugali